peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
" Mfumo uliotumiwa na ccm kwenye Kura za maoni kuhesabu Kura utumike pia kwenye uchaguzi mkuu,ni mfumo mzuri ,wa wazi na hauna kasoro zozote, pale unakosema polisi wasimamie Kura ndipo Vita inapoanzia. Mwenye Kura ashike Kura zake mwenye na ahesabu mwenyewe akimaliza asaini kukupali matokeo.Tokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai.
Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi ya polisi peke yao...
Tokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai.
Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi ya polisi peke yao...
Raia siyo walinzi.kazi ya ulinzi wa ndani ni ya Jeshi la polisi na kazi ya ulinzi wa mipaka yetu ni wa Jeshi la Wananchi. Kama wapinzani wanataka kazi ya ulinzi wajiunge na makampuni ya ulinzi binafsi wakalinde mageti mitaaniTokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai.
Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi ya polisi peke yao...
BUNGE LIPI UNALOLIONGELEA WEWE JAMAAUnaishi sehemu gani isiyo kuwa na utaratibu?? Kama uwakilishi usingekuwa na umuhimu basi hata bunge lisingekuwa na maana kwani tungeenda watanzania wote dodoma ili kutunga na kupitisha sheria.
Unadhani watanzania wote tukienda kulinda kura humo ndani kura zinapohesabiwa kutatosha.
Kuwa mpinzani sio tiketi ya kujitoa ufahamu
Unaishi sehemu gani isiyo kuwa na utaratibu?
Kama uwakilishi usingekuwa na umuhimu basi hata bunge lisingekuwa na maana kwani tungeenda watanzania wote dodoma ili kutunga na kupitisha sheria.
Unadhani watanzania wote tukienda kulinda kura humo ndani kura zinapohesabiwa kutatosha.
Kuwa mpinzani sio tiketi ya kujitoa ufahamu
ULINZI NI JUKUMU LA KILA MWANANCHI, SIO KAZI YA POLISI PEKEERaia siyo walinzi.kazi ya ulinzi wa ndani ni ya Jeshi la polisi na kazi ya ulinzi wa mipaka yetu ni wa Jeshi la Wananchi
Mbona hujaenda kulinda bank?ULINZI NI JUKUMU LA KILA MWANANCHI, SIO KAZI YA POLISI PEKEE
HIVI UNAFAHAMU DHANA NZIMA YA NENO ULINZIMbona hujaenda kulinda bank?
Nimetoa mfano wa wakilishi kwa maana kwenye kila chumba cha majumuisho na usimamizi wa kura kuna wawakilishi wa vyama vya vyote sijazungumzia polisi Kama wasimamizi bali pale wanakua ni walinzi wa amani na utulivu, jukumu la kusimamia kura ni la vyama pamoja na tume sio vinginevyo.Hao polisi hatukuwachagua sisi wananchi kuwa walinzi wa kura zetu.
Unatoa mfano wa wabunge na polisi.
Jiulize lini wewe ulipiga kura kumchagua polisi awe mlinzi wa kura zako.?
Ni sawa kufananisha usiku na mchana.
Sisi tutalinda kura zetu wenyewe na kama yeye IGP anasema ni jinai basi mahakama itaamua.Yeye sio mahakama.
Akili zake anadhani ukiwa mpinzani lazima uwe mvunja SheriaUnaishi sehemu gani isiyo kuwa na utaratibu?? Kama uwakilishi usingekuwa na umuhimu basi hata bunge lisingekuwa na maana kwani tungeenda watanzania wote dodoma ili kutunga na kupitisha sheria.
Unadhani watanzania wote tukienda kulinda kura humo ndani kura zinapohesabiwa kutatosha.
Kuwa mpinzani sio tiketi ya kujitoa ufahamu
Hawa watu wanaupuuzi mwingi hivi kuna chumba/eneo la majumuisho ya kura hakuna msimamizi wa chama. Kama wapo inamaana wao hawaamini watu wao au wale wanakuwa ni mapambo kwenye chumba cha kuhesabia kura.Akili zake anadhani ukiwa mpinzani lazima uwe mvunja Sheria
Na wakilinda inakuwa kosa kwenye sheria ipi?Aliuliza wanalinda Kwa Sheria gani, kama ambavyo hakuna Sheria inayokuruhusu kulinda nyumba yako.
Chief of police forces
mwaka 2015 kuna mtanzania alifungua kesi juu ya uhalali wa kulinda kura na mahakama ilitoa tafsiri, so IGP Sirro yuko sahihiMuda bado,vyama vya upinzani vitatatikiwa kuhitaji tume huru na maelewano baina ya polisi na nyama upinzani ni lazima uwe bayana ili kuepusha watu kuleta vurugu
Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
Nazani inaruhusiwa kukaa kama mita mia mbili kukizingira kitua cha kura polisi wasije wakatoka na kukimbia na masanduku ya kura kama walivyofanya Pemba.
Siri Robert Amsterdam anaeaangalia kwa karibu , mkataba wake na Lisu pamoja na Kurudi nyumbani salama bila bughudha Ni pamoja na haki zake Kama mgombea, kutangazwa mshindi,Tokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai.
Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi ya polisi peke yao.
Kwa nini kamanda Sirro haoni umuhimu wa wenye mali yaani yenye kura zao kujiridhisha kuwa ziko salama?
Kwa nini kamanda Sirro haoni kuwa vitimbi vya polisi dhidi ya vyama vya upinzani vinawafanya kutoaminika?
Rejea vitimbi vya polisi wa Mbeya dhidi ya Sugu. Rejea matamshi ya bashiri kuhusiana na matumizi ya vyombo vya dola ili kubakia madarakani.
Kamanda Sirro kwanini haoni umuhimu wa utaratibu wa wazi kwa vyama kujiridhisha kuhusiana usalama wa kura, ni kigezo muhimu kuonyesha kuwa haki imetendendeka kwa mustakabala mzuri wa amani yetu sote?
Ni kweli kuwa kamanda Sirro anategemea kwa dhati kabisa kuwa polisi wake katika mazingira haya watatenda haki?
View attachment 1542661
Nawasilisha.
Sidhani kama wanahitaji imani ya upinzani huu koko.hata wale wawakilishi wa vyama hawatakiwi au?
kamanda Sirro kumbuka kuwa; wapinzani hawawezi kuwa na imani nanyi kwani mmetumika mara nyingi sana kukandamiza upinzani.