Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
mdogo wangu mbona kama hujaelewa, nimekazia tu kwamba tuliletewa kobasi na suruali fupi wakati ki asili tulikuwa tunavaa surruali ndefu.Ulitaka akuletee magita ili ukaimbe imbe huko kwa Mungu wako mbinguni?
Ausar hujui peponi kuna bikra 72 wanakusubiri?Mwili wa peponi hauna maradhi wala magonjwa ni kuponda rahaaaa tu, acha wivu , andaa koo kamuaimbie Mungu wako ndio pepo yako hiyo
Wachache sana hao , wewe Selemani kaishi miaka michache duniani hapa alikuwa na wanawake 700, sasa itakuwa maisha ya milele na hao 72 , hata wakiongezwa hamna shidaAusar hujui peponi kuna bikra 72 wanakusubiri?
Kiasili tulikuwa tunavaa ngozi sio suruali wala kanzu, wewe umesoma historia ya watu gani?mdogo wangu mbona kama hujaelewa, nimekazia tu kwamba tuliletewa kobasi na suruali fupi wakati ki asili tulikuwa tunavaa surruali ndefu.
Kwani nimesema kuvaa kobasi na suruali fupi na kuongea kama waliotuleetea ni vibaya?
Ngozi zimepigwa marufuku maana wanyama wanaisha, sasa hivi hata kufuga kobe ni mpaka kibali.Kiasili tulikuwa tunavaa ngozi sio suruali wala kanzu, wewe umesoma historia ya watu gani?
Mnapewa na nguvu za vumbi la kongo, yani ni ngono milele!Wachache sana hao , wewe Selemani kaishi miaka michache duniani hapa alikuwa na wanawake 700, sasa itakuwa maisha ya milele na hao 72 , hata wakiongezwa hamna shida
Umesha ambiwa huko hakuna magonjwa wala fitna, huko kila kitu kipo sawa bin sawiaMnapewa na nguvu za vumbi la kongo, yani ni ngono milele!
Ukisema wakoloni maana yake hao sio wenye asili yetu, sisi asili yetu ni kuvaa ngozi za wanyama, suruali ya aina yeyote ni jambo la kuiga tu kama ambavyo mnaiga mengine, historia imekupita kushoto ni masikitikoNgozi zimepigwa marufuku maana wanyama wanaisha, sasa hivi hata kufuga kobe ni mpaka kibali.
Ngozi za chui huku kwetu mbeya machifu walikuwa wanavaa, sasa hivi ni kosa la uhujumu uchumi.
Sasa baada ya wakoloni kupiga marufuku kwa Sheria, Makobasi na suruali fupi wameshikiwa ubongo na hao waliowaletea badala wahangaike na sayansi na teknolojia wao kila uchao wanalia lia kama watoto yatima.
Unakuwa na kichwa kigumu kama hao jama tunao wazungumzia.Ukisema wakoloni maana yake hao sio wenye asili yetu, sisi asili yetu ni kuvaa ngozi za wanyama, suruali ya aina yeyote ni jambo la kuiga tu kama ambavyo mnaiga mengine, historia imekupita kushoto ni masikitiko
Mwili wa peponi hauna maradhi wala magonjwa ni kuponda rahaaaa tu, acha wivu , andaa koo kamuaimbie Mungu wako ndio pepo yako hiyo
Ni kama kuiga kobazi na abayaUkisema wakoloni maana yake hao sio wenye asili yetu, sisi asili yetu ni kuvaa ngozi za wanyama, suruali ya aina yeyote ni jambo la kuiga tu kama ambavyo mnaiga mengine, historia imekupita kushoto ni masikitiko
Unajua maana ya asili? siku nyingine usitumie neno asili kama hujui maana yake, sisi asili yetu ni kuvaa ngozi hatuna uhusiano na suruali wala kanzuUnakuwa na kichwa kigumu kama hao jama tunao wazungumzia.
Serikali imepiga marufuku kuvaa hizo mbanga, hata wamasai kule zanzibar wamepigwa marufuku kubeba sime na marungu hadharani, elewa !
Sawa na kuiga suti na viminiNi kama kuiga kobazi na abaya
Kiboko yake ni Zelensky tu , mchekeshaji kamanda aliefanya Urusi kuwa omba omba wa silaha
basi mkuu endelea na kobasi zako na suruali fupi, kupanga ni kuchagua.Unajua maana ya asili? siku nyingine usitumie neno asili kama hujui maana yake, sisi asili yetu ni kuvaa ngozi hatuna uhusiano na suruali wala kanzu
KAFIRISTAN OYEEKiboko yake ni Zelensky tu , mchekeshaji kamanda aliefanya Urusi kuwa omba omba wa silaha
Sawa na kuiga suti na vimini
Naam wewe endelea kuiga unavyopendabasi mkuu endelea na kobasi zako na suruali fupi, kupanga ni kuchagua.
Zelensky mchekeshaji kiboko ya kizee Putin