TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

Madili? Mbona mkiambiwa madili yamezibwa mnapiga kelele kumbe mnafahamu kwamba kulikuwa na madili.
Katika majeshi Polisi ndio walikuwa wanaongoza kwa ufisadi kuanzia kwenye ajira,uhamisho,kupangiwa vitengo,kubambikiza kesi,kushirikiana na majambazi na mengine mengi
 

Mfumo mzuri
WA ccm huyu mzee alifanya dili na majambazi wote wa moshi anzia Alex masawe na wezi WA bia kitobo enzi za tusker ccm wezi wapo kila ngazi anzia wenye dhamana km Chico

Alale panapostahili
 
Amewatesa sana wapinzani, anapata hukumu ya haki, ccm haipo naye sasa hivi, yuko peke yake. Hukumu ya haki kwa aliowaonea!
Basi Mungu ampimie kwa kadiri ya kipimo stahili. Hatujui wangapi hawapo kwa uonevu wa Hawa watu kwa ushirikiano na mdudunwa kijani na njano
 
Polen sana wafiwa
Lakini ni kwa nini mabosi wanapojiuzulu au kuachishwa kazi wengi huaga dunia mapema?? Kuna nini hasa?
Mara nyingi ina kuwa hali ya Afya sio nzuri.
Sasa hapo utastafu au kustafishwa ama kuachishwa kazi.
Afya ukiwa sio nzuri mara nyingi uko jirani na Kifo.
 
Ocd
Same Amezaa na Dada zako kwani jamaa alikuwa jembe.
Aiisee wewe ulishi kota za Relini
 
Bila kusahau chonjo familys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…