Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

Nikibet nikaliwa zaidi ya buku natoka nduki miguu kisogoni.

Kwakweli nyie mnaobeti mpaka mnabaki pumb tu huwa nawashangaa tu, kweli kila mtu na maono yake aisee.

Mimi ni muoga kupoteza pesa mingi kindezi ndezi huwa inaniuma sana.
 
Bora uwe mraibu wa dawa za kulevya utajidunga, utalewa na utalala au utaoverdose utakufa.....kuliko kubeti maana ni kuchezea hela na haufi unaeza shangaa milioni inapotea ndani ya dk 5...ili kuishinda hii addiction usikae na hela hata mwaka mzima ndio itakua pona yako
 
BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu...
Hàlafu serikali inakimbizana na mirungi inaacha huu mchezo unaoangamiza vijana ambao ndio nguvukazi ya taifa.
 
Acha ufala umepoteza hela ndogo

Jisamehe kwa upumbavu uliofanya anza upya kukomaa utainuka tena

Wewe sio wa kwanza kupoteza
 
Bet what u affrod to lose
 
 
Pole mkuu

Mechi ya Brazil wape goli 3 au wafungane
 
aisee kumbe wazee wa goal goal mambo yanakuwaga sio mambo
 
mchezo wa wenye hela jamani huu, chukua timu zako mbili weka mzigo wa maaana.
sie wengine utaishia minya pumbuz tuu kama mie hapa nimeweka goal goal mechi ya uturki na austria lakini naona dakika zinaenda tuu austria hafungi
 
We Wenzako sporty bet na betway stake zetu ni tshs 10 na ikizidi sana tshs 500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…