Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

Pole sana kaka,Cha msingi tuliza akili tafuta namna nzuri ya kuanza upya. Tafuta kitu kingine cha kuanza kufanya tengeneza upya Iman Kwa watu waweze kukuamin Tena ,kingine unaweza tafuta vitabu vya maarifa kuweza kusoma Ili kujua unaanzia wapi na ufanye kitu gani!!!!focus umtengenezee mwanao maisha Bora pamoja na mama watoto wako.
 
Betting haijawahi kuwa tatizo,tatizo ni akili za mtu anayebeti.

Kitendo cha kufunga ofisi ukashinde banda la kamari,hili nalo unailaumu kamali??
Kwani ukibetia ofisini kwako kuna tatizo gani??

Wenyewe wanakwambia kwanza hakikisha unatumia pesa ambayo huna malengo nayo makubwa,kwa vyovyote itakuwa ni ndogo tu,halafu hakikisha uwe na uwezo wa kuipoteza,yaani ikiondoka sio unapagawa,kingine jifunze tabia halisi ya mpira,hautabiriki.

By the way ukiona betting haikufai jaribu mapenzi,au pombe ujiue au uanguke mtaroni waondoke na marinda.
 
Sijui ila nadhani ungepaswa kutoa ushauri... betting ni tatizo Kwa vijana wengi si huyo tu. Cha msingi apambne kuondkan na hyo hali
 
Betting sio tatizo ila wewe hujitambui Mimi mbona ninabet ila sijawahi kuwa addicted angalia hizo ticket zangu tatizo lako mtoa thread tamaa yaani tamaa na betting ni vitu viwili tofauti lazima ufeli
 

Attachments

  • Screenshot_20240703-125551.jpg
    446.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240703-125545.jpg
    404.1 KB · Views: 6
Uzembe upo na nimejizungumzia Mimi? Nionyeshe sehemu nilipogeneralize kwenye andiko langu ili niione huo uzembe.

Baada ya hapo, kama ni mtu timamu huwezi kushindwa kung'amua cha kufanya. Inaonekana umekuja race town sio
Uandishi mwingine wa kizembe huu => so narrow-minded
 
Betting sio tatizo ila wewe hujitambui Mimi mbona ninabet ila sijawahi kuwa addicted angalia hizo ticket zangu tatizo lako mtoa thread tamaa yaani tamaa na betting ni vitu viwili tofauti lazima ufeli
Hata wewe ni addicted ni vile hutambui upo addicted kinamna gani?broo
 
Haiwezekan hyo broo...hyo n tofauti na betting
Utofauti umeuweka wewe sio Mimi Kila mtu na mawazo yake. Ndio maana nikakuambia Kwa mawazo yako unayoleta hata wewe ni addicted naona hata maana ya addicted hujui
 
Utofauti umeuweka wewe sio Mimi Kila mtu na mawazo yake. Ndio maana nikakuambia Kwa mawazo yako unayoleta hata wewe ni addicted wa maji..

Utofauti umeuweka wewe sio Mimi Kila mtu na mawazo yake. Ndio maana nikakuambia Kwa mawazo yako unayoleta hata wewe ni addicted naona hata maana ya addicted hujui
Aah ni mawazo tu hayo
 
ndugu mwaka huu mwanzoni nliamua kuikimbia lkn uez amini mwez wa 5 nlirudi kwa kasi ya ajabu na imeshanilevya nawish niiende cjui pori gani nkakae kwa muda at wa mwaka ili niitibu kwanza akili na kuieka swa
Kwa huu uandishi wako uliwezaje kusoma SUA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…