Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

Wewe ndo umeniona cjui pengine nalielwa tofauti...nakataka utoe maana yake unayojua wewe
Addicted ni kitu chochote ambacho unazidisha ambacho kitakuletea madhara Sasa ndio nakushangaa unaniita Mimi addicted wa betting ndio maana nikakuambia hata wewe unaweza kupata hasara ya kapoteza maisha Kwa kunywa maji tu endapo ukizidisha
 
Nikuulize swali,wewe hapo unaweza kuacha kubet
 
Any way pole sana kijana...pole mno..dawa unayo ww mwenyewe..dawa ni kuamua tuu...
 
Moja ya kitu ambacho sitokuja kufanya wala kujaribu ni kubet, Kubet ni addiction mbaya sana
Kuna Jamaa alikuwa na hela zake kama 12M akanunua Kiwanja, nyingine iliyobaki akafungua duka, sasa pale alipofungua duka kulikuwa kuna Dubwi akawa anaona vile raia wakidumbukiza 200 wanatoka na 16,000,22,000,40,000 na yeye akajiingiza. Mbona baada ya miezi alifunga duka. Sasa hivi kajiingiza kwenye kubet.
 
Alfu bado Kuna mtu anasema kubet sio tatizo..ety tatizo n mtu mwenyw sijui imekaa vp hyo?
 
Pole sana. Ukicheza kamari ni muhimu sana ujue muda wa kuingia na kutoka. Kama huujui basi jitenge na huo mchezo.
 
Maji kama binadamu ni lazima unywe huwezi acha nitofauti na betting cio lazima na ukiacha unapata faida kuliko hasara
Umejiona ambavyo huna akili mzee yaani sehemu ambayo naona inaniingizia pesa ambayo ndio Kila kitu duniani niache halafu nitakula mchanga sio
 
Umejiona ambavyo huna akili mzee yaani sehemu ambayo naona inaniingizia pesa ambayo ndio Kila kitu duniani niache halafu nitakula mchanga sio
Ase kweli tupo tofauti...nilichokielewa wewe betting ndio ajira yako na umeifanya kuwa ndo sehemu ya maisha yako ni sawa na unachojibu
 
Ase kweli tupo tofauti...nilichokielewa wewe betting ndio ajira yako na umeifanya kuwa ndo sehemu ya maisha yako ni sawa na unachojibu
Ndio maana yake betting sio ajira ya Kila mtu Bali ni ya watu wachache tunaojielewa ukiona mtu anasema betting mbaya ujue sio kazi yake atafute kazi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…