MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Kaka, Dark Days itakupa majibu kama anauwezo wa kumkabili Born town ama anajichetua tu?
Ukweli wa kitu gani? Na ukweli ndio huwaponza vihelehele.
View: https://twitter.com/thinkbig2025/status/1691363115680620544?t=6oWJgpeExmD5rmp65TvOtA&s=19
Ukweli wa kitu gani? Na ukweli ndio huwaponza vihelehele.
View: https://twitter.com/thinkbig2025/status/1691363115680620544?t=6oWJgpeExmD5rmp65TvOtA&s=19
Ni kweli, na hawa wala hawakuwahi kusema wanataka kuiondoa serikali na yakawafika haya, seuze wanaosema hadharani, sio JF ambako kuna voro; tutarajie nini? Kumbuka masheikh walikaa ndani kwa zaidi ya miaka tisa. Jee hawa wa leo ikitokea hivyo itakuwaje? Masheikh kosa lao lilikuwa ni kuukataa muungano hadharani, jambo leo, baada ya swala la bandari limekuwa ndo wimbo.Ikumbukwe pia hata Kikwette hakuwaacha salama Maalim, CUF, masheikh wa uamsho, katiba ya warioba wala maoni yote ya watu.
Sio mimi kuziona ni mapinduzi harakati zao. Nimesema huwezi kuhamasisha na kufanya uchochezi na kuhamasisha kuiondoa serikal na mengine halafu useme ni uhuru wa kutoa maoni. Hayo wanayo/waliyofanya/wanayotuhumiwa kufanya ni makosa kwa mujibu wa sheria za nchi na mahakama ndo itaamua walifanya au hawakufanya na wala sio mimi Zawadini.Kwamba harakati za leo wewe waziona ni Mapinduzi? Wakati tulikuwa sote hapa
Mkuu hayo ni maoni yangu na siajaona ambapo nimesema au kuunga mkono kuiondoa serikali, uchochezi au kuhamasisha mapinduzi.Ama kwa hakika kama chini hapa ni maoni ya @Zawadini na haya ya leo nayo ni ya @Zawadini huyo huyo? Basi tuna matatizo makubwa zaidi!
Kibaka ni kibaka tu
Ni kweli, na hawa wala hawakuwahi kusema wanataka kuiondoa serikali na yakawafika haya, seuze wanaosema hadharani, sio JF ambako kuna voro; tutarajie nini? Kumbuka masheikh walikaa ndani kwa zaidi ya miaka tisa. Jee hawa wa leo ikitokea hivyo itakuwaje? Masheikh kosa lao lilikuwa ni kuukataa muungano hadharani, jambo leo, baada ya swala la bandari limekuwa ndo wimbo.
Sio mimi kuziona ni mapinduzi harakati zao. Nimesema huwezi kuhamasisha na kufanya uchochezi na kuhamasisha kuiondoa serikal na mengine halafu useme ni uhuru wa kutoa maoni. Hayo wanayo/waliyofanya/wanayotuhumiwa kufanya ni makosa kwa mujibu wa sheria za nchi na mahakama ndo itaamua walifanya au hawakufanya na wala sio mimi Zawadini.
Mkuu hayo ni maoni yangu na siajaona ambapo nimesema au kuunga mkono kuiondoa serikali, uchochezi au kuhamasisha mapinduzi.
Mimi, Zawadini msimamo wangu haujabadilika katika kuona haki inapatikana kwa kila mmoja bila kufikiria kuiodoa serikali kinyume na sheria
Msaliti wa UKAWA hiyo ndo adhabu yake kura yangu ilipotea sababu yake wamshughulikie haswaa maana uhuni aliotufanyia hatujausahau.
Hapana shaka kwamba hawakuwahi kusema neno mapinduzi. Mara zote walilalamikia kubadilishwa matokeo ya uchaguzi, na hili unalielewa. Sikupata kusikia au kuona mtandaoni ndgu zetu akina brazaj wakilisema hili.Kwamba Kwenye list unakubali yaliwakuta kina Seif na wote wale kinyume cha utaratibu na tumekuwa sote, bega kwa bega kupinga yaliyowakuta?
Kwamba unajifariji kuwa hao walikaa ndani muda wote na hawakuwa wamesema neno Mapinduzi? Maajabu ya Mussa!
Sijaona kujidanganya katika hili. Kwenye ukweli lazima tuseme.Huko mbona kutakuwa ni kujidanganya ndugu yangu?
Maalim Seif wala wanasiasa kutoka upinzani wakati hule hawakubambikiziwa ugaidi. Waliobambikiziwa ugaidi ni masheikh wa Uamsho nao huo ubambkiziwaji ulitoka JMT na sio Zanzibar. Tuweke kumbukumbu vizuri.Wewe hujui walibambikiziwa ugaidi. Kwani walisema ugaidi? Wewe hujui ufundi wa mamlaka zetu Kwenye kubambikiziana kesi?
Hapa sijaelewa.Au ilichoona au mapendekezo ya tume ya haki jinai hukuyasikia? Au ungependa wewe kubambikiziana ipi? Kwani wanao upungufu wa kesi za kubambikizia watu?
Hawashindwi ila katika hili la sasa mbona watu wameonekana na kusikika,Nchi hii ikitaka kukutia ndani au hata kukuuwa kwani inashindwa wapi? Wako wapi kina Ben, Azory au Mosses Lijenje? Au kumbe nani walikuwa wale marehemu kwenye viroba?
Mkuu hapa swala sio kuridhika au kutoridhika, kuziheshimu au kutokuziheshimu bali swala ni kwamba sheria zipo na hivyo ni lazima kufuatwa. Kuzivunja kunapelekea kuchukuliwa hatua.Kwamba ni kwa mujibu wa sheria zipi unazotaja kuzihalalisha wewe leo walizozikiuja kina Slaa hapa ambazo wewe au ninyi leo kumbe mwaziheshimu mno?
Hawa ndo wanatakiwa kutoa tafsiri ziwe sahihi au zisiwe sahihi na nini cha kufanya pale mtu asiporidhika zimewekwa, ni wajibu wetu kuzifuata.Kwamba Leo mahakama na polisi ndiyo unaziona tuziheshimu tu zitatupa tafsiri sahihi? Kuwa tusubiri hayo huko na kuwa si wewe kutoa maoni kwani hizo ni kazi za kitaalamu na utalaamu huo uko mahakamani?
Hawa ulotutaja tuko unprncipled kwa maoni yako. Unao uhuru wa mawazo huenda ukweli utajulikana kwamba walioko unprincipledHapa naweza kuyaelewa sasa yale matatizo ya wengi na Zitto, ACT na hata na wazanzibari. Ya kuwa mko unprincipled!
Huenda haya unayodai ya unafiki ni kwasababu ya kutofanya yale unayoyataka wewe. Ni ajabu!! Hivi wewe hali (status) yako ni ipi? Jee wewe ni kiherehere, kitimbakwiri au nani hasa?Ninyi si wa kualalia mlango wazi."
Kwa kiswahili - mu wumanafiki!
Si swala la mkuki kwa ngurue, Uzanzibari, udini wala njaa. Pia si swala la kuona vionjo vya kuiondoa serikali bali swala ni kutamka hadharani swala la kuiondoa serkakali.Kwamba mkuki Kwa nguruwe siyo? Kwamba udini, uzanzibari, jinsia au njaa?
Kwamba huku wewe ukiona hakukuwa na vionjo vya kuiondoa serikali?
Ni kichekesho na ni akili za kitoto kudhani kwamba kuiondoa serikali kinyume cha sheria ni halali. Huku ni kuishiwa na hoja, kushindwa na kukosa hekima. Haifanani kwako kuyadai haya. Nakusihi fikiri kwanza kabla hukuanza kuandika.Kwani serikali isiyokidhi matakwa ya watu wake kuiondoa madarakani kwanini iwe haramu?
Hili nalo ni kukosa na kuishiwa na hoja. Hivi unamfananisha Amini na mama Samia? Huku ni kukosa uelewa na kutokufikiri. Tafakari.Mbona Amini tulimfurusha madarakani kama ilivyokuwa wakolon
Kwa mwenendo huu na utaratbu huu ni kweli Wazanzibari, kama mimi, siko tayari kuwa mshirika katika hiliKwa maoni yako ninaelekea kukubaliana na wanaoona wazanzibari si washirika wa kutumainiwa kwenye kudai haki zetu.
Udini, uzanzibari na kuwa rais Sasa hivi ni mwenzenu basi ndiyo kusema fyongo zake zote hamzioni na kweli mlipo sasa mnatushangaa?
Hapana shaka kwamba hawakuwahi kusema neno mapinduzi. Mara zote walilalamikia kubadilishwa matokeo ya uchaguzi, na hili unalielewa. Sikupata kusikia au kuona mtandaoni ndgu zetu akina brazaj wakilisema hili.
Sijaona kujidanganya katika hili. Kwenye ukweli lazima tuseme.
Maalim Seif wala wanasiasa kutoka upinzani wakati hule hawakubambikiziwa ugaidi. Waliobambikiziwa ugaidi ni masheikh wa Uamsho nao huo ubambkiziwaji ulitoka JMT na sio Zanzibar. Tuweke kumbukumbu vizuri.
Hapa sijaelewa.
Bila shaka unafahamu wote hao wamewahi kushitakiwa kwa njama za mapinduzi na pia kutamka neno mapinduzi na shtaka hilo ni vitu viwili tofauti.
Kama sivyo basi serikali ya CCM utakuwa ungali huijui.
Swala la maalim Sef kushtakiwa kwa mapinduzi halipo na haljawahi kuwepo.Bila shaka unafahamu wote hao wamewahi kushitakiwa kwa njama za mapinduzi na pia kutamka neno mapinduzi na shtaka hilo ni vitu viwili tofauti.
Kama sivyo basi serikali ya CCM utakuwa ungali huijui.
Hili la kutembea na ID fiche unaalitambua wewe. Mimi najadilana na brazaj wa humu JF kwa sasa. Siku nyingine nitag kwamba huyu wa sasa ni brazaj katika ID fiche ili nisiseme hujachangia na kumbe umechangia ukiwa umejifunika kizoro.Izingatiwe jukwaani humu tunatembea na ID fiche Labda kama wewe ni verified member.
Katika hili, Zawadini yumo humu tokea 2012 kwa hivyo Zawadini katika hili ni mzoefu zaidi.Pili brazaj anatembea humu tokea 26 July 2016. Rejea zako ni kutokea wapi? Umeyaangalia mabandiko yangu kuihusu Zanzibar na kadhia za huko tangia muda huo na vipindi vyote vya chaguzi za huko kujiridhisha kabla ya kuiandika fyongo yako hii?
Hapa nilikuwa najadili madai yako kwamba maalm Seif walibambikiziwa kesi ya ugaidi. Kama ni vingine, jaribu kuwa mahususi (specific) kwani mimi najadili maandiko siangalii kichwani mwako kuna nini. Na huu ndo utaratibu.Kubambikiziwa kesi ndiyo iliyo hoja kuu. Kubambikiziwa hakujali ni kesi ipi kwa maana mwenye kulifanya hilo ni kwa discretion yake si mbambikiziwa kesi. Kwani nani anachagua abambikiziwe kesi ipi?
Kwamba leo SMZ na JMT ni moja kwa sababu tu najenga hoja? Si ni nyinyi munaosema ni kitu, utawala, serikali nyingine? Nikuite kigeugeu?Kwatenganisha JMT na SMZ wote hao chini ya CCM ni kutaka kujidanganya kwingine mchana mchana.
Kwani waliomtambua mtoto wa nyoka ni nyoka walikosea?
Hapa nilikuwa sikuelewa umeandika nini. Mimi najadili kitu kichoandikwa kwa ufasaha na sio kukurupuka tu. Jitahidi kuandika kwa ufasaha ili tujadili kwa ufasaha.Kama hiyo nayo huielewi angalia hapa kujiridhisha:
Hawashindwi ila katika hili la sasa mbona watu wameonekana na kusikika,
Mkuu hapa swala sio kuridhika au kutoridhika, kuziheshimu au kutokuziheshimu bali swala ni kwamba sheria zipo na hivyo ni lazima kufuatwa. Kuzivunja kunapelekea kuchukuliwa hatua.
Hawa ndo wanatakiwa kutoa tafsiri ziwe sahihi au zisiwe sahihi na nini cha kufanya pale mtu asiporidhika zimewekwa, ni wajibu wetu kuzifuata.
Hawa ulotutaja tuko unprncipled kwa maoni yako. Unao uhuru wa mawazo huenda ukweli utajulikana kwamba walioko unprincipled
Huenda haya unayodai ya unafiki ni kwasababu ya kutofanya yale unayoyataka wewe. Ni ajabu!! Hivi wewe hali (status) yako ni ipi? Jee wewe ni kiherehere, kitimbakwiri au nani hasa?
Si swala la mkuki kwa ngurue, Uzanzibari, udini wala njaa. Pia si swala la kuona vionjo vya kuiondoa serikali bali swala ni kutamka hadharani swala la kuiondoa serkakali.
Ni kichekesho na ni akili za kitoto kudhani kwamba kuiondoa serikali kinyume cha sheria ni halali. Huku ni kuishiwa na hoja, kushindwa na kukosa hekima. Haifanani kwako kuyadai haya. Nakusihi fikiri kwanza kabla hukuanza kuandika.
Hili nalo ni kukosa na kuishiwa na hoja. Hivi unamfananisha Amini na mama Samia? Huku ni kukosa uelewa na kutokufikiri. Tafakari.
Kwa mwenendo huu na utaratbu huu ni kweli Wazanzibari, kama mimi, siko tayari kuwa mshirika katika hili
Mkuu kama ni udini basi wewe brazaj unaongoza na haya maandiko yako yanathibitisha hayo. Hivi la kuwa rais ni mwenzetu linkuja sasa? Mlikuwa wapi wakati watu waliponyanyaswa nanyi mukakaa kimya kwa kuwa wao ni Wazanzibari?
Nakukumbusha tu akina Juma Duni walishitakiwa kwa uhaini sikumsikia brazaj akipaza sauti hadi pale mahakama lipoamua hakuwezi kufanyika Zanzibar kwa kuwa sio nchi? Ulikuwa wapi wakati masheikh waliposhiliwa kwa miaka zaidi ya tisa? Huo haukuwa udini, haukuwa ubaguzi, haukuwa umajimbo? Iweje leo liwe jambo kwasababu tu wanaoshikiliwa ni wale wenye imani moja nawe, ni wale wenye asili moja nawe?
Mimi Zawadini nitaendelea kuunga mkono juhudi za kupata haki kwa kutumia njia za kistaarabu na kamwe staunga mkono wabaguzi wa aina yoyote. Hatuna budi siku zote jembe tuliite jembe
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa Dar kuwatishia wanaopinga mkataba tata wa bandari?Ni kwenye sakata hili hili mkuu. Sakata linanuka uvundo ajabu bi mkubwa hausikii.
Swala la maalim Sef kushtakiwa kwa mapinduzi halipo na haljawahi kuwepo.
Hili la kutembea na ID fiche unaalitambua wewe. Mimi najadilana na brazaj wa humu JF kwa sasa. Siku nyingine nitag kwamba huyu wa sasa ni brazaj katika ID fiche ili nisiseme hujachangia na kumbe umechangia ukiwa umejifunika kizoro.
Katika hili, Zawadini yumo humu tokea 2012 kwa hivyo Zawadini katika hili ni mzoefu zaidi.
Hapa nilikuwa najadili madai yako kwamba maalm Seif walibambikiziwa kesi ya ugaidi. Kama ni vingine, jaribu kuwa mahususi (specific) kwani mimi najadili maandiko siangalii kichwani mwako kuna nini. Na huu ndo utaratibu.
Kwamba leo SMZ na JMT ni moja kwa sababu tu najenga hoja? Si ni nyinyi munaosema ni kitu, utawala, serikali nyingine? Nikuite kigeugeu?
Hapa nilikuwa sikuelewa umeandika nini. Mimi najadili kitu kichoandikwa kwa ufasaha na sio kukurupuka tu. Jitahidi kuandika kwa ufasaha ili tujadili kwa ufasaha.
Baada ya hayo nakushukuru na nakutakia majadiliano mema yenye heshima na busara.
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa Dar kuwatishia wanaopinga mkataba tata wa bandari?
Hivi ni maadili mema ya kiongozi kama mkuu wa mkoa wa Dar aliyepo sasa hivi kuwaonesha jeuri wananchi kwamba hakuna mtu anayeweza kumpanda juu ya kipara chake? Kwamba wakome kama walivyokoma kunyonya maziwa ya mama zao? Mamlaka ya uteuzi bado tu inamfuga akijikweza kwa mshahara wa kodi zao?
Ni kweli mkoloni sheria alikuwa nazi na waliozvunja sheria hizo walchukuliwa hatua.Hata mkoloni sheria alikuwa nazo. Ndiyo maana kutwa kucha tunapogania katiba mpya Ili kuwa na sheria za haki Enye kukubaliwa Kwa haki na sote.
Katika hili kwa sasa umesema kweli.Hawa ndugu wanashikiliwa kinyume cha sheria. Hakuna shaka kuwa unajua mtu akikamatwa ndani ya masaa 24 inabidi awe kafikishwa mahakamani.
Penye ukweli huwa tunasema.Asante Kwa kutambua ni Kwanini ninalazimika kuwaita unprincipled na kwamba si from nowhere!
Kusema ni kitu kimoja na kutenda unayoyasema ni kitu kingine. Kwa bahati mbaya umesema yale usiyoyatenda na huo ndo unafiki.Mimi ninasimama na ndugu huyu ambao ndiyo ulio ukweli mchungu:
Hawa wanashitakiwa kwa kutangaza hadharani kwamba kuiondoa serikali - kufanya mapinduzi.Kwa hiyo kwako wewe haipo tofauti ya kutamka mapinduzi na kupanga mapinduzi? Kwamba kumbe hawa wanashtakiwa Kwa kutamka mapinduzi Wala si kupanga mapinduzi?
Ikiwa uhalali wa serikali unakoma kwa kujichukulia haki za raia basi nawe jiunge nao.Uhalali wa serikali unakoma unapojinyakulia haki za raia na uka geuka kuwa wabakaji. Jiridhishe kuhusiana na kadhia ya bandari za bara kukabidhiwa dp world lakini Siyo za Zenji. Hiyo ikiwa bila ya ridhaa ya wabara.
Swala hapa sio kusema tu ila tunachotaka ni kuona.Ninakukumbusha Tena kuyarejea maandiko ya brazaj tokea 26 Nov 2016 kuhusu haki. Bila
kusahau kuihusu Zanzibar, Maalim Seif na wote uliowataja wakiwamo masheikh wa uamsho. Ya nini kuandika mate?
Nipende kukutaarifu brazaj hakuwahi kukaa kimya au kuacha kukerwa na ubaguzi wowote na hata kama mbaguzi huyo alitaka kuwa zawadini ambaye mapema nikimtambua kama mshirika mwaminifu wa siku zote kabla ya maandiko yako haya.
Lini nimewahi kuwa na simile na wabaguzi tokea kokote watokako hata kama ingekuwa mbinguni? Kama wao kama wewe sitakufumbia macho kwenye hili!
Kwenye hili nitakuwa mchoyo wa fadhila kutokuwafahamisha kuwa: "mme boogie
Sawa. Mimi nangoja kuona kwa vitendo haya unayodai leo. Kule waswahili husema "tusiandikie mate na wino upo"Hayupo anayetaka Shari. Hata hivyo waliotambua amani kutopatikana ila kwa ncha ya upanga hawakukosea.
Kwamba tunataka haki? Kwamba iwe kwa vipi? Hayo hayawezi kuwa Kwa utashi au uchaguzi wa maadui zetu.
Huo ndiyo ulio ukweli mchungu kwa huyu ndugu yenu na hasa kama mwampenda.
Sio kwamba atatawala kwa mujibu wa katiba, bali hivi sasa anatawala kwa mujibu wa katiba. Akienda kinyume na katiba bunge litamwodoa kwa mujibu wa katiba yenyewe.Atatawala si kwa matakwa yake, bali Kwa mujibu wa Katiba!
Ni kweli mkoloni sheria alikuwa nazi na waliozvunja sheria hizo walchukuliwa hatua.
Hili la kupigania katiba tunapigania sote, ila nikumbushe tu hata baada ya hiyo katiba mpya kutatungwa sheria na wataozivunja watachukuliwa hatua kwa mujibu wa hizo sheria zitazotungwa. Hizi zilizopo sasa zilitungwa na wawakilishi wetu mimi na wewe.
Katika hili kwa sasa umesema kweli.
Penye ukweli huwa tunasema.
Kusema ni kitu kimoja na kutenda unayoyasema ni kitu kingine. Kwa bahati mbaya umesema yale usiyoyatenda na huo ndo unafiki.
Hawa wanashitakiwa kwa kutangaza hadharani kwamba kuiondoa serikali - kufanya mapinduzi.
Ikiwa uhalali wa serikali unakoma kwa kujichukulia haki za raia basi nawe jiunge nao.
Swala la bandari kukabidhiwa DPW lkn sio za Zenj ni uamuzi uliofanywa na serikali. Ungekuwa na hoja ikiwa ungesemea haki ya hiyo Zanzibar siku moja. Vinginevyo haya ni malalamiko yanayobagua kwa utaratibu uleule kwamba ya kwao hayatuhusu na hivi hatuendi sawasawa.
Swala hapa sio kusema tu ila tunachotaka ni kuona.
Huenda tumebuggie kama mawazo yako yalivyo lkn pia huenda umebuggie wewe.
Sawa. Mimi nangoja kuona kwa vitendo haya unayodai leo. Kule waswahili husema "tusiandikie mate na wino upo"
Sio kwamba atatawala kwa mujibu wa katiba, bali hivi sasa anatawala kwa mujibu wa katiba. Akienda kinyume na katiba bunge litamwodoa kwa mujibu wa katiba yenyewe.
Nimeiona. Waliokamatwa kwa uhaini walikuwa ni babu Duni.Kama kumbukumbu huna huwa unaweza hata uka google kujiridhisha:
Wewe ulidhani sijui? Hapa hujatumia ID fiche, hivyo nakuona na nakutambua na hilo halitaki tochi.Kumbe wajua wajadiliana na brazaj? Basi mrejee brazaj tokea 26 Nov 2016 si kabla ya hapo.
Uzoefu sio lazima wa kidijitali, hata huo wa analog ni uzoefu na ndo ulotupeleka hapa kwenye dijitali.Hadi hapo utakuwa umetambua uzoefu wako wa ki analogu haufui dafu kwenye wa mamboleo almaarufu - kidijitali.
Aghalabu ni kuwa waungwana husema 1+1 = 2 haijali ni wazoefu wa wajinga wangapi wanasema ni 5.
Tunazungumzia JF na sio mahala pingine.Wapi na lini, au mimi na nani tulisema zi tofauti?
Hili la CCM tunasema sote.Lini tumeacha kuwanyooeshea vidole hao ndugu? Au wewe hujausikia ule wimbo wao pendwa kuwa - CCM ni Ile Ile?
"Au kwenu nyie yenu ni ya zambarau?"
Ndiyo maana issue hii itaondoka na watu. Walifanya jambo la ajabu sana. Mungu ambariki sana Dkt Samia, ninyeye tu mpaka 2035!Ama kweli dunia inakwenda kasi sana.
Kwamba Dkt. Slaa, balozi wa Hayati Magufuli leo yuko korokoloni tena chini ya awamu ya 6?
Ikumbukwe hata kina Mbowe hayakuwakuta ya kuwakuta kwenye awamu ile.
View attachment 2717325
Kwa hakika Mh. Kikwette, hata asipoyasemea kwa mara nyingine tena.
Chonde chonde enyi mlioko madarakani:
Kikwette na asikilizwe!