Kamata kamata ya viongozi wa chadema, CHAMA hiki kinazidi kukuwa ndani na nje nchi

Gentleman,
huna haja ya kubabaika wala kua na mawenge.

Tii sheria bila shuruti, vinginevyo takabiliwa ipasavyo bila mbambamba yoyote 🐒
 
Unajua maana ya kutii sheria bila shuruti wewe? Ulishwahi ona msafara wa IGP Unavyovunja sheria za barabarani wakati akitoka bar au kurudi kwake mbweni???
 
kiuka sheria yoyote ya nchi, Lazima ndugu zako watakuja kukuchukulia korokoroni.

jaribu kutatiza tu hata huo msafara uone kazi ya sheria kwa vitendo 🐒
 
Hakuna namna ccm inaweza kushindana tena na cdm kwa njia halali, na sababu hasa ccm sio chama cha kizazi hiki. Na iwapo ccm itakubali kushindana na cdm kwa njia halali, hapo ndio itakuwa mwisho wa ccm.
 
Hakika njia wanayoitumia sio shahihi kabisa,
 
kiuka sheria yoyote ya nchi, Lazima ndugu zako watakuja kukuchukulia korokoroni.

jaribu kutatiza tu hata huo msafara uone kazi ya sheria kwa vitendo 🐒
Sheria eti mkuu
 
Gentleman,
huna haja ya kubabaika wala kua na mawenge.

Tii sheria bila shuruti, vinginevyo takabiliwa ipasavyo bila mbambamba yoyote 🐒
Mkuu sheria Tanzania, ambapo unaweza kupingia jaji simu na akamua isivyo, "rostam aziz"
 
Ccm ni chama kilicho madarakani pasipo ridhaa ya wananchi ndio maana kinategemea wizi, ujambazi ,utekaji na uuaji kuendelea kubaki madarakani. Ila mwisho wao hauko mbali.
 
Kwamba kamata kamata ni Promotion Kwa CDM na ni Demotion Kwa CCM wakati huo huo.
 
Mimi najiliuza , polisi yao, yao, jeshi lao, sasa kwann wanaogopa chadema
 
Mdio

Ndio mkuu, ccm thanking tank yake wanauwezo mdogo sana wa kufikilia, wanazidi kukipaisha chadema pasipo kujua
 
Mimi najiliuza , polisi yao, yao, jeshi lao, sasa kwann wanaogopa chadema
Kwa sababu hakuna la maana wanalolifanya madarakani zaidi ya wizi na ubadhilifu mkubwa wa fedha za umma. Shenzi hawa.
 
Kuna kundi la watu ndani ya ccm ndio wanaohalibu nchi yetu pendwa, na ccm inawakumbatia
 
Hakika CCM na wanaccm wengi kwa ujumla vinatumika kama kondomu ya bei rahisi kuzinufaisha kijamii na kiuchumi familia chache sana hapa nchini.
 
Na hili kundi ni dogo sana, siku tukifanikiwa kusambatisha kundi hilo ndo utakuwa mwisho wa ccm majizi, mafisadi, ccm walarushwa, ccm wezi, hawana kabisa uzalendo kwa taifa lao
 
💯💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…