Kamata kamata ya viongozi wa chadema, CHAMA hiki kinazidi kukuwa ndani na nje nchi

sa sawa gentle man umeamua kuungana na mfumo wa Rushwa kwa ssb hawezi kuubadilisha au sio? You are just a" watcher" ,silenser, without doing northing" however thought-word-behaviour- success- destiny. It depend on each other. No action without word or thought gentleman
 
Gentleman,
binafsi huwa nashangaa sana, hususani upinzani kulalamikia mfumo sijui wa CCM au serikali sikivu ya CCM.
Huo ndiyo mfumo wake, unatakaje CCM ibadilishe mfumo wake?

Si utumie wako kuingia madarakani na ufanye utakayotaka kufanya kutumia huo mfumo wako na chama chako?

hakuna familia inayoweza kwenda kubadili mfumo wa maisha wa familia nyingine itakavyo. Hakuna kitu kama hicho gentleman.

Changamoto, dosari na kasoro mbalimbali kwenye uendeshaji wa chama na serikali sikivu ya CCM, husahihishwa, hurekebishwa vyema, halafu, kama Taifa tunasonga mbele kwa pamoja 🐒
 
Sawa nimekusoma gentleman, ngoja tuendeleee kusubili, uma wa Tanzania utakapo choka na kuchukua mamuzi magumu juu ya mfumo unawanufaisha familia chache.
 
Sawa nimekusoma gentleman, ngoja tuendeleee kusubili, uma wa Tanzania utakapo choka na kuchukua mamuzi magumu juu ya mfumo unawanufaisha familia chache.
unasubiri umma upi tena gentleman?🤣

umma wa waTanzania ndiyo unaongoza nchi, wewe umekaa mahali eti unasubiri umma, utasubiri sana gentleman 🐒
 
Nakubaliana na wewe.Ni Muda mwafaka Sasa wana CCM tujitafakali wapi tumekosea..Mwaka 1995 Mrema na NCCR yake alitusumbua mno hadi Mkapa alipata kura kiduchu.Mwaka 2010 JK alipata tabu sana kutokana na upinzani wa Dk Slaa na Chadema yake.Na Mwaka 2015 Chadema ilitutoa jasho.
Lakini ukiangalia kwa umakini upinzani huwa hautaamalaki kama CCM inafanya vizuri.Ndiyo maana mwaka 2000 Mkapa alifanya vizuri kabisa baada ya kazi nzuri ambayo ilimsaidia hata JK kufanya vizuri mno mwaka 2005 na Mwaka 2020 Magufuli alifanya vema sana.
 
Nakubaliana na wewe.Ni Muda mwafaka Sasa wana CCM tujitafakali wapi tumekosea..Mwaka 1995 Mrema na NCCR yake alitusumbua mno hadi Mkapa alipata kura kiduchu.Mwaka 2010 JK alipata tabu sana kutokana na upinzani wa Dk Slaa na Chadema yake.Na Mwaka 2015 Chadema ilitutoa jasho.
Lakini ukiangalia kwa umakini upinzani huwa hautaamalaki kama CCM inafanya vizuri.Ndiyo maana mwaka 2000 Mkapa alifanya vizuri kabisa baada ya kazi nzuri ambayo ilimsaidia JK kufanya vizuri mno mwaka 2005 na Mwaka 2020 Magufuli alifanya vema sana.
 
Hata hivyo,nina Imani na Chama changu CCM kuwa kitafanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.CCM inadumu kwa sababu huijiendesha kama Kanisa Katoliki kwa kujisahihisha kila kinapopata dhoruba ambayo mara zote hutokana na uongozi mbovu wa Kiongozi Mkuu wa Chama na Serikali.
 
Tufarijiane kwa maneno hayo na mtu mmoja asema Amen
Chadema kuishinda CCM ni sawa Mende kuangusha
Tunahitaji upinzani wenye nguvu na wenye kauli moja huu upinzani tuliona umegawanyika vipande vipande na hauna nguvu
Mkuu std7, ndio upeo wako huo?
 
Mkuu, huyo wakati wa rage alikuwa shule.
 
Kip Ccm ina kila kitu, lakin BAdo wanaogopa chadema mkuu, shida nn CHAMA zaidi ya miaka 60, inakiopaga chadema miaka20
 
unasubiri umma upi tena gentleman?🤣

umma wa waTanzania ndiyo unaongoza nchi, wewe umekaa mahali eti unasubiri umma, utasubiri sana gentleman 🐒
Hahahahahah, gentleman, siku zinakuja, hapata salia ,jiwe wala mlima, yeyeyote alihusika katika mfumo wa serikali atalia na kusaga meno. Soma kitabu kinaitwa the "beautyful ones are not yet born" by Ayi kwei Amah
 
🤣 Gentleman,

unanikumbusha mbali kichizi aise dah!
hivi ni 4 au 6 hiyo sijui hata lilikua ni novel ama nini hata sikumbuki 🤣
anyway, hiyo ibaki story tu.

Wacha nikukukumbushe jambo moja la maana na muhimu sana, gentleman,

Licha ya kwamba mimi ni mwananchi na mdau wa kawaida humu jukwaani,

Lakini pia mimi ni kiongozi wa wananchi, mbobevu muandamizi wa masuala ya kisiasa na kidiplomasia. hayo ni ya kawaida..

na ile muhimu zaidi ni kwamba,
I am unknown apostle. Sisingiziwi, sitishiwi wala kuhesabiwa haki, siku au neema na Baraka za Mungu ndani yangu.

Sipiganagi mwenywe, napiganiwa na Baba 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…