Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

Tunatoana roho yarabi kwa rasilimali walizotuachia waasisi wetu.
 
Bibi Samia hana lolote,tulijua anaweza kuhimili kumbe ni wale wale kama Jiwe tu.Sasa itabidi tumloge tu.Jamani kuloga kwa kutumia maombi .Kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Eeh Mungu tuondolee huu uchafu unaoitwa Samia.
Duh, Kwahiyo MUNGU akisikia maombi yako si itabidi Makamu wa rais aanze kujiandaa?.

MUNGU ibariki Tanganyika na Zanzibar tuwe na amani.
 
On
Ongeza na Martin Maranja Masese
 
Haaaaaaa

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Tatiizo watu mnachukulia poa sana madaraka ya Rais na kudhani mtabaki salama mkimtukana Rais kwa kigezo cha uhuru wa kutoa maoni. Ibara ya 18 imetoa haki ya uhuru wa kutoa maoni ila haijasema chochote kuhusu haki ya baada ya kutoa maoni.
 
Bibi Samia hana lolote,tulijua anaweza kuhimili kumbe ni wale wale kama Jiwe tu.Sasa itabidi tumloge tu.Jamani kuloga kwa kutumia maombi .Kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Eeh Mungu tuondolee huu uchafu unaoitwa Samia.
Kabla hujaropoka kuhusu Rais na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kumbuka yeye ndo huteua wafuatao;
1. IGP
2. CDF
3. Kamishna wa Takukuru
4. Mkuu wa usalama wa taifa
5. DPP
6. Mkuu wa magereza
7. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
8. Mkurugenzi wa uchaaguzi
 
Duh, Kwahiyo MUNGU akisikia maombi yako si itabidi Makamu wa rais aanze kujiandaa?.

MUNGU ibariki Tanganyika na Zanzibar tuwe na amani.
Yes,walau yeye atatuondolea kina Nape .Na yeye akileta za kuleta ,tunamlilia Mungu tena. Kwanza ombi langu ni hawa CCM wapoteane kabisa. Nchi hii ni yetu sote.Kwa nini ukamate watu wanaohoji kuhusu uuzaji wa Bandari?Tena hapa inadhihirisha kuwa Bandari yetu inachukuliwa kabisa,otherwise Samia asingetumia police wake hao wenye division four form four. Somo walilofaulu ni D ya kiswahili na D ya Civics.
 
stupid, unaudhi sasa
Usiwe Mjinga Wewe

Hizi siyo Nyakati za kuzusha taharuki kwa Wanafamilia kwa jambo usilo na Ushahidi

Zembwela kakimbilia Mlingotini kujificha hakujua Hili jambo ni kubwa kumzidi
 
KUMBE ILIKUWA NI KOSA KUFUNGUA KESI?
 
Usiwe Mjinga Wewe

Hizi siyo Nyakati za kuzusha taharuki kwa Wanafamilia kwa jambo usilo na Ushahidi

Zembwela kakimbilia Mlingotini kujificha hakujua Hili jambo ni kubwa kumzidi
You are stupid, mambo mengine humu tunataniana lkn siyo kwenye jambo nyeti kama hili. Wewe kaa huko uliko, ujue lkn magufuli hakujua kama kuna kufa/atakufa, weka akiba! Kila mmoja anafaamika kwa jina halisi!
 
So???

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
ndiyo mtaelewa kwanini wale wasiyojulikana wamepewa haki ya kutokushitakiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…