Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

You are stupid, mambo mengine humu tunataniana lkn siyo kwenye jambo nyeti kama hili. Wewe kaa huko uliko, ujue lkn magufuli hakujua kama kuna kufa/atakufa, weka akiba! Kila mmoja anafaamika kwa jina halisi!
Na uache Ututusa hakuna anayefanya utani katika situation kama Hii

Unapoandika askofu Mwamakula atakamatwa unatuma Ujumbe gani kwa Kanisa na katika Chief Kingdom yake kule Kyela?
 
Na uache Ututusa hakuna anayefanya utani katika situation kama Hii

Unapoandika askofu Mwamakula atakamatwa unatuma Ujumbe gani kwa Kanisa na katika Chief Kingdom yake kule Kyela?
Slaa hana kingdom? Acha kichaa chako, acha utani, maisha ya watu yanataka kuangamia.
 
Tundu Lissu si miongoni mwa watakao kamatwa
 
Tunaweza kufanya Siasa za kila namna ukachekewa au ukapuuzwa ila kuna maeneo hutakiwi kufika na kila Mwanasiasa Mwandamizi wa Nchi hii anajua

Ma Sheikh wa Uamsho na Mbowe ni watu maarufu sana kwny Jamii lakini walipogusa Gridi ya Taifa walinaswa na Umeme

Ukigusa Muungano na Mamlaka ya Rais ( sio ya Serikali) hapo lazima ukumbushwe kuwa Dola ipo Timamu

kuna watu muda huu sio ajabu ukakuta wameshapigwa upinde huko Gerezani
 
Hii Nchi imevamiwa tayari kwa sababu ya kuruhusu kiongozi dhaifu SSH kuingia ikulu. Sasa nimewaelewa watu watatu
  • Kakurwa,, TISS aliyejiuzulu. walipotaka kumzuia SSH asimridhi jiwe
  • Huyu RC wa Dar aliwahi kudokeza kuwa kuhusu hatari ya makamu wa rais kumroga rais au hata kumpa sumu ili arithi kirahisi. SSH and gang walimuua JPM

Nimekasirika sana: HIvi watanzania tumekuwa mbuzi kabisa- Rais anaratibu rushwa kuuza raslimali za nchi?!!
Jakaya pamoja na ufisadi wake aliruhusu majadiliano yakatokea na hata waliojiuzulu waka jiuzulu.
Sasa huyu anakuwa sehemu ya wezi seriously?? wazi wazi hivi?
 
Juu wapi? Mbinguni?

Wacheni uzushi.
 
acha uzushi bwana mdogo tuliza hilo tako. We nani mpaka ujue kinachoendelea ndani ya jeshi la polisi? nyau tu wewe
 
Vizuri sana!
 
Bibi Samia hana lolote,tulijua anaweza kuhimili kumbe ni wale wale kama Jiwe tu.Sasa itabidi tumloge tu.Jamani kuloga kwa kutumia maombi .Kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Eeh Mungu tuondolee huu uchafu unaoitwa Samia.
Samia, ni suala la muda tu, huyu ni hatari kuliko mtawala yeyote tuliyewahi kuwa naye maana anadanganywa sana na waarabu kuwa watamlinda hata awafanyie ubaya gani Wananchi. Huyu anaweza kufanya maovu na kusababisha mauaji makubwa nchini.

Tuvute muda, tutashuhudia uovu mwingi wa ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…