Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Pole sana mkuu.Huu ni mwendelezo wa ripoti za kupika. Kama ripoti za kupika zinatoa hela, basi ile $192b waliyosema tunawadai Barrick tungelipwa. Tukatae ripoti yoyote ya kupika, na sio kufurahia ripoti ya kupika ili kujipatia fedha, ambayo wala hatukuzipata zaidi ya kuonekana majuha. Nasema iseme ripoti hii ya kupika, lakini usimtaje mtu muongo ili kumpa kick asiyostahili.
Teh teh teh 😂😂 punguza chuki na wivu kwa wahadhiri wakoNinachojua Maprofesa wengi ni wazee wa nadharia tu ila application wako empty headed kabisa.
Halafu unakuta Le Professer amevaa miwani anakuangalia, macho kama kinyonga, dharau kibao ilhali lenyewe halina kitu kichwani na maishani.
matokeo yameanza kuonekana 2022. utawala uliopita wasingefumbia macho jambo hili kabisaKwani hizo sumu zimeanza kumwagwa2022??
Rais yupi..hivi unaamini kabisa kuna serikali nchi hii.Rais samia asifumbie macho wanaiharibu nchi yetu
Awe na uchungu wa na nchi yetu
Hii itafanya watu watilie shaka chunguzi zilizopita na zijazo. Mkojo lita 21?
Hii itafanya watu watilie shaka chunguzi zilizopita na zijazo. Mkojo lita 21?
Enzi za marehemu ripoti kama hii ilikuwa inaondoka na profesa wa michongo.
Endeleeni kuwatetea mabeberu huku watanzania wenzenu wakiangamia na magonjwa ya cancerNi up.umbavu wa hali juu kufikiria kuwa eti kuna sumu za mgodini zingesababisha samaki kufa mto Mara. Ni fikra za kijinga kabisa kutoka kwa wajinga wasiojua chochote kuhusiana na shughuli za mineral processing...
Kauli kama hizi huwa ni kichaka cha kuficha Udhaifu wa Tafiti husika. Akija Profesa mwingine wa Mchongo akesema chanzo cha vifo vya Samaki ni kuvimbiwa Kinyesi cha Ng'ombe tuamini tu!!Utafiti unapingwa kwa utafiti, ni vyema uwepo utafiti mbadala ili kupinga sio maneno tu.