Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

Ninachojua Maprofesa wengi ni wazee wa nadharia tu ila application wako empty headed kabisa.

Halafu unakuta Le Professer amevaa miwani anakuangalia, macho kama kinyonga, dharau kibao ilhali lenyewe halina kitu kichwani na maishani.
 
Ni ripoti ya mchongo kweli, lakini inaizidi Ile ya Prof. Osoro na Mruma? 😂😂
Ambao kwa Magufuli waliokuwa ni mashujaa wa taifa?
 
Kwani hao ng'ombe wanakunya ndani ya mto?, navyofahamu kinyesi kadri kinvyokaa ndo kadri kinavyokuwa chepesi, inakuwaje kiwe kizito hivo hadi kizibe mto?
 
Huu ni mwendelezo wa ripoti za kupika. Kama ripoti za kupika zinatoa hela, basi ile $192b waliyosema tunawadai Barrick tungelipwa. Tukatae ripoti yoyote ya kupika, na sio kufurahia ripoti ya kupika ili kujipatia fedha, ambayo wala hatukuzipata zaidi ya kuonekana majuha. Nasema iseme ripoti hii ya kupika, lakini usimtaje mtu muongo ili kumpa kick asiyostahili.
Pole sana mkuu.
 
Ninachojua Maprofesa wengi ni wazee wa nadharia tu ila application wako empty headed kabisa.

Halafu unakuta Le Professer amevaa miwani anakuangalia, macho kama kinyonga, dharau kibao ilhali lenyewe halina kitu kichwani na maishani.
Teh teh teh 😂😂 punguza chuki na wivu kwa wahadhiri wako
 
Kinyesi kg 25 kwa siku na mkojo lita 21 kwa siku



Hapana sio kweli weeee
 
Tuendelee kucremisha vitu tu ila habari ya maprofesa na usomi wa Afrika bado tuna safari ndefu sana.MBAYA ZAIDI NCHI KAMA NCHI HAINA MJADALA WA PAMOJA KUJADILI NA KUJIULIZA KWA NN WENZETU WACHINA,WAKOREA NA WENGINE WENGI WAMEFIKIA PALE KWANINI ,KWA NN ,KWA NN.TUMEKALIA KUUZIANA DIGRII,MASTAZ,NA UPROFESA.UJINGA WA AFRIKA NADHANI MPAKA MUNGU MWENYEWE AINGILIE KATI.bila hivyo hatutoki.Mtu akienda shule kupata Elimu akirudi wala huelewi kama ameelimika ni upumbavu mtupu.
 
Wote ndo wale wale tu,bado hatujapata watu wa maana...nchi inachezewa Sana hiii.
 
Wote ndo wale wale tu,bado hatujapata watu wa maana...nchi inachezewa Sana hiii.
 
Yaan kuna mambo yanatia hasira vibaya,hii nchi sijui imelaaniwa yaani tuna wasomi wa ajabu saana aisee,hapo rushwa imeshatembea wao hawajali tena wananchi
 
Ni up.umbavu wa hali juu kufikiria kuwa eti kuna sumu za mgodini zingesababisha samaki kufa mto Mara. Ni fikra za kijinga kabisa kutoka kwa wajinga wasiojua chochote kuhusiana na shughuli za mineral processing...
Endeleeni kuwatetea mabeberu huku watanzania wenzenu wakiangamia na magonjwa ya cancer
 
Utafiti unapingwa kwa utafiti, ni vyema uwepo utafiti mbadala ili kupinga sio maneno tu.
Kauli kama hizi huwa ni kichaka cha kuficha Udhaifu wa Tafiti husika. Akija Profesa mwingine wa Mchongo akesema chanzo cha vifo vya Samaki ni kuvimbiwa Kinyesi cha Ng'ombe tuamini tu!!
 
embu acheni umama basi JF...kwani yeye prof hana akili mpaka aseme samaki wamekufa kwa makemikali labda kama hana watoto na michepuko.
 
Back
Top Bottom