Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

Hawa washenzi washaongwa tayari, apo ndo tutamkumbuka Magufuli,
Hawa watu wanacheza na roho za watu
 
alafu tunashauriwa kama unafuga samaki nyumbani tuweke bwawa chini ili wale kinyesi leo jamaa wa mchongo wanasema sumu ha ha ha ha ha
Hapo na mm ndio nashangaa wakati najua kinyesi cha n'gombe na chakula kizuri cha samaki
 
Kwa hiyo mifugo yote katika hilo eneo ilikuwa inaishi ndani ya mto au kila ikitaka kujisaidia inakwenda kwenye mto kushusha haja ndogo na kubwa?

Hizi ni Fix kwa 100%
Inafikirisha na kuchekesha papo.
 
Haingii akilini.
Kwani wakurya wameanza kufuga ng'ombe Jana au juzi.
Hizi rushwa ndogo ndogo hizi zitawapeleka jehanum.
Mabeberu wamewaambia semeni ni mifugo ili wakurya wahame na mifugo Yao.
A full professor could not see this trick because of two million shillings.
 
Kinyesi cha ng'ombe na mikojo iweje kiwe sumu? Tatizo limejirudia kwa miaka mingapi?
OK well, wameona kinyesi kina sumu, je ni sumu gani ilikuwa kwenye hicho kinyesi, ng'ombe wameitoa wapi?
Sumu ni components
 
Ukiona tafiti za kuthaminisha (assess) zinapewa uzito kuliko zile za uchunguzi ama unda ( investigate, develop, design etc.), ujue tunalo. Mambo ya kufuata lugha za donor upate donation...yanatuangamiza!

TUJITEGEMEE.
 
Pp
Ungeweza kuweka utetezi wako bila kutaka kutuonyesha Magufuli alikuwa bora kwa hivyo. Ripoti ya uongo ya Ossoro ilikuwa chini yake, na hawa wameiga kupika ripoti.
Pamoja na ripot ya Ossoro kuitwa ya mangumashi,lakini ilikula vichwa kibao na kufutiliwa kampuni ya kimangumashi ya accesia,ni njinga tu ambaye akuona manufaa ya tume ya Ossoro, Sasahivi watu wa kanda ya ziwa wanakufa kwa kansa,halafu kuna mtu anakuja na majibu ya kitoto kuhusu afya za watu,Samia hatufahi kama hawezi kulinda afya za wananchi wake,bora tuwe na rais dicteita anayefundisha kufuata sheria bila shuruti,kuliko democrasia inayobembeleza kufuata sheria.
 
Wasiojua Cyanide kisamvu na mihogo yote ndio chimbuko (Source) kubwa ya cyanide duniani ndio maana mbuzi akila majani ya mihogo kwa wingi shughuli ataipata...lakini mihogo tunakula na haitudhuru kwa sababu concentration inakua iko chini sana.
Kisamvu ni majani ya muhogo..

Mbona haitudhuru sisi imdhuru mbuzi? .
 
Samadi ( ni biomass) ikiwa na C H O na trace element Ikivunda bila hewa uzalisha gesi ukaa ch4. Gesi hii nyepesi, upaa mawingu ki urahisi! Pia samadi ikiingia mtoni usababisha uwepo wa wadudu walao hewa ya o2 iliyomo majini na ambayo utumiwa na samaki... sijui nimechanganya madesa!
 
Professor na waziri Jafo ni takataka
 
Hii ni decomposition formula. Vipi kuhusu quantity?.... weka namba ya simu tukutafutie uteuzi
 
Ishu sio uprofesa,ishu amezingatia ethics na principles za taaluma yake?
 


Huu upuuzi kwa kweli.Wajinga tuu ndio wanafaa kukubali hii taarifa
 
Kuna mahali jana nilichangia kuwa hizi kamati zinazoundwa kisiasa zinawadhalili sana wataalam wetu waliobobea katika field zao bila sababu za msingi.
Ukiwasikiliza wakati wa uwasilishaji wanavyoteseka kumung'unya maneno kama watoto,aah.Nakumbuka Maproff wa makinikia na Almasi/Tanzanite!
Hapa tulipofikia Taifa letu uponyaji wake ni Katiba mpya pekee.Tuanzie squire 1 na tuijenge nchi kwa pamoja.Mchango wa kila raia unahitajika bila ubaguzi wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…