Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo na mm ndio nashangaa wakati najua kinyesi cha n'gombe na chakula kizuri cha samakialafu tunashauriwa kama unafuga samaki nyumbani tuweke bwawa chini ili wale kinyesi leo jamaa wa mchongo wanasema sumu ha ha ha ha ha
Inafikirisha na kuchekesha papo.Kwa hiyo mifugo yote katika hilo eneo ilikuwa inaishi ndani ya mto au kila ikitaka kujisaidia inakwenda kwenye mto kushusha haja ndogo na kubwa?
Hizi ni Fix kwa 100%
Ukiona tafiti za kuthaminisha (assess) zinapewa uzito kuliko zile za uchunguzi ama unda ( investigate, develop, design etc.), ujue tunalo. Mambo ya kufuata lugha za donor upate donation...yanatuangamiza!Tuendelee kucremisha vitu tu ila habari ya maprofesa na usomi wa Afrika bado tuna safari ndefu sana.MBAYA ZAIDI NCHI KAMA NCHI HAINA MJADALA WA PAMOJA KUJADILI NA KUJIULIZA KWA NN WENZETU WACHINA,WAKOREA NA WENGINE WENGI WAMEFIKIA PALE KWANINI ,KWA NN ,KWA NN.TUMEKALIA KUUZIANA DIGRII,MASTAZ,NA UPROFESA.UJINGA WA AFRIKA NADHANI MPAKA MUNGU MWENYEWE AINGILIE KATI.bila hivyo hatutoki.Mtu akienda shule kupata Elimu akirudi wala huelewi kama ameelimika ni upumbavu mtupu.
Pamoja na ripot ya Ossoro kuitwa ya mangumashi,lakini ilikula vichwa kibao na kufutiliwa kampuni ya kimangumashi ya accesia,ni njinga tu ambaye akuona manufaa ya tume ya Ossoro, Sasahivi watu wa kanda ya ziwa wanakufa kwa kansa,halafu kuna mtu anakuja na majibu ya kitoto kuhusu afya za watu,Samia hatufahi kama hawezi kulinda afya za wananchi wake,bora tuwe na rais dicteita anayefundisha kufuata sheria bila shuruti,kuliko democrasia inayobembeleza kufuata sheria.Ungeweza kuweka utetezi wako bila kutaka kutuonyesha Magufuli alikuwa bora kwa hivyo. Ripoti ya uongo ya Ossoro ilikuwa chini yake, na hawa wameiga kupika ripoti.
Kisamvu ni majani ya muhogo..Wasiojua Cyanide kisamvu na mihogo yote ndio chimbuko (Source) kubwa ya cyanide duniani ndio maana mbuzi akila majani ya mihogo kwa wingi shughuli ataipata...lakini mihogo tunakula na haitudhuru kwa sababu concentration inakua iko chini sana.
Hili linahitaji utafiti wa kina.Yote hayo tuliyategemea.
Sasa wanaweza kutuambie kwanini magonjwa ya kansa yameshika hatamu sana kanda ya ziwa??
Professor na waziri Jafo ni takatakaEndapo Ng'ombe mmoja wa kienyeji atafanikiwa kuzalisha kilo 25 za kinyesi na lita 21 za mkojo Kwa SIKU kipindi Cha kiangazi, je atatoa uchafu kiasi Gani kipindi Cha kiangazi?
Je, uchafu huu uzaliwa ukanda mmoja tu wa mto mara au Hali hii IPO Katika maeneo mengine nchini? Mbona hakuna rekodi ya Matokeo ya utafiti kama huu Toka kuumbwa Kwa Dunia?
Kupitia tafiti hizi za maprofesa: Kwako wewe msomaji, unadhani Profesa ni mtu wa aina gani? Ungetamani kuitwa profesa?
Unadhani kwanini Dr. Jafo kaelekeza kamati ikaandae Taarifa badala ya kupokea Taarifa? Je, profesa amewasilisha Taarifa ambayo haijakamilika? Findings zake amezitoa wapi? Vipi kuhusu recommendations?
Atapata uteuziKunahitajika mageuzi ya msingi... kikundi cha wajinga kitatunuku vyeo vya ujinga tu.... kazi iendelee.
Hii ni decomposition formula. Vipi kuhusu quantity?.... weka namba ya simu tukutafutie uteuziSamadi ( ni biomass) ikiwa na C H O na trace element Ikivunda bila hewa uzalisha gesi ukaa ch4. Gesi hii nyepesi, upaa mawingu ki urahisi! Pia samadi ikiingia mtoni usababisha uwepo wa wadudu walao hewa ya o2 iliyomo majini na ambayo utumiwa na samaki... sijui nimechanganya madesa!
Mto mara unaingiza maji ziwa victoriaRipoti inahusu mto mara sio ziwa Victoria.
Ha ha ha ha Watanzania TUMELAANIWA RASMI!
Hawa Wasomi hawa!...kuna siku mtu unaweza kujilipua tu!
Yani kinyesi na Mkojo wa ng'ombe ndio uue samaki upande huo wa mto Mara na upande mwingine samaki wanaendelea kula bata tu kama kawaida?
Hivi wawekezaji wanaweza wakatupa kiasi gani cha fedha kuficha ukweli na kutunga uongo wa kiwango hiki cha mtoto wa darasa la awali?
Shenzi kabisa!
Kuna mahali jana nilichangia kuwa hizi kamati zinazoundwa kisiasa zinawadhalili sana wataalam wetu waliobobea katika field zao bila sababu za msingi.Endapo Ng'ombe mmoja wa kienyeji atafanikiwa kuzalisha kilo 25 za kinyesi na lita 21 za mkojo Kwa SIKU kipindi Cha kiangazi, je atatoa uchafu kiasi Gani kipindi Cha kiangazi?
Je, uchafu huu uzaliwa ukanda mmoja tu wa mto mara au Hali hii IPO Katika maeneo mengine nchini? Mbona hakuna rekodi ya Matokeo ya utafiti kama huu Toka kuumbwa Kwa Dunia?
Kupitia tafiti hizi za maprofesa: Kwako wewe msomaji, unadhani Profesa ni mtu wa aina gani? Ungetamani kuitwa profesa?
Unadhani kwanini Dr. Jafo kaelekeza kamati ikaandae Taarifa badala ya kupokea Taarifa? Je, profesa amewasilisha Taarifa ambayo haijakamilika? Findings zake amezitoa wapi? Vipi kuhusu recommendations?