NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Aiseh mi mwenyewe nimeshangaa waseme tu mercury,lead na co wameua samaki kabisa kuliko uongo huo!!Tangu lini organic matters zikaua samaki..wakati kuna kambale wanaishi kwenye tope chafu na hawakufi..hawa jamaa wamepewa hongo wakapindisha uchunguzi na kuleta ngonjera zisizo na mashiko kabisa...haimake sense kabisa.
#MaendeleoHayanaChama
Yani daah ni shida sanaaAcha tu juzi nimeona tena wachimbaji wadogo Shinyanga wanaambiwa aondoke eneo la machimbo ya dhahabu wampishe mwekezaji..hii nchi mapanya yamerudi baada ya paka kufariki.
#MaendeleoHayanaChama
Kwa fikra zako unadhani ni mwekezaji gani kwa namna gani yawezekana akawa amechafua mto Mara?Kuna watu wanacheza na akili za watanzania kwa manufaa ya mwekezaji.
Yale Yale ya Zelensky na raia wake kwa manufaa ya marekani[emoji848]
we jamaa acha porojo basiNi up.umbavu wa hali juu kufikiria kuwa eti kuna sumu za mgodini zingesababisha samaki kufa mto Mara. Ni fikra za kijinga kabisa kutoka kwa wajinga wasiojua chochote kuhusiana na shughuli za mineral processing.
Mgodi wa North Mara, mahali uliko halafu eti ukasababishe vifo vya samaki mto Mara, hata akili ndogo ya kawaida inakataa.
Kwanza ni sumu gani ambayo ingeweza kutembea toka mgodi wa North Mara mpaka ikafike mto Mara ikiwa bado ina nguvu ya kuua viumbe majini? Chemical pekee yenye sumu kali inayotumika kwenye mineral processing ni Sodium cyanide, ambayo kwa muda mfupi ikiwa exposed kwenye hewa hupoteza nguvu yake. Chemicals nyingine ni acids, ambazo zingeingia majini zingekuwa diluted kutokana na uwingi wa maji.
alafu tunashauriwa kama unafuga samaki nyumbani tuweke bwawa chini ili wale kinyesi leo jamaa wa mchongo wanasema sumu ha ha ha ha haWengi hufikiri watanzania wengi hawaja elimika kama miaka ya mwinyi na nyerere, kwa haraka haraka ananiambia ng’ombe anakula zaidi ya kilo hamsini za nyasi kuzalisha kinyeshi cha kilo 50 mbona hawa Proffesa wanawadharau sana wananchi
UDSM nayo siku hizi imekuwa bomu kweli kama maprofesa wake wanafanya utafiti na kuandika ripoti za namna hii ambazo hata mtoto wa darasa la 10 anajua siyo kweli. Mimi siyo mtu wa kemia wala elimu ya viumbe lakini hilo ninaliona wazi kabisa kutokana na elimu niliyopata form 1 ya miaka ya 70.Ma proffesa siku hizi wamekuwa washenzi sana sijapata logic yoyote hapo, ngoja nimalize kupata kinywaji hapa nikapitie mafaili yangu kwenye mechanism kadhaa na baadha ya tafiti tuanze kumpinga kwa tafiti.
Bila shaka atakuwa amedhalilisha ma profesa wenzake, na hapa inaonesha moja kwa moja serikali haiko radhi kumsumbua muwekezaji kwa sababu wao wanafikiria kukusanya mapato na si kulinda afya za watanzania na viumbe asilia.
Kwa hii ripoti serikali imepotosha
Intergrated farming tena ukiangalia kinyesi cha kuku kiko highly concentrated with ammonia kulinganisha na kinyesi cha ng’ombe leo nimecheka sana ..alafu tunashauriwa kama unafuga samaki nyumbani tuweke bwawa chini ili wale kinyesi leo jamaa wa mchongo wanasema sumu ha ha ha ha ha
[emoji28][emoji28][emoji28] jamaa wanatuonaje sijui.alafu tunashauriwa kama unafuga samaki nyumbani tuweke bwawa chini ili wale kinyesi leo jamaa wa mchongo wanasema sumu ha ha ha ha ha
Kaka ungekuwa karibu ningekununulia bia, hii tafiti ingefanywa na rafiki yangu kipenzi bingwa wa Samaki Prof. Mdegela ningeeleaa ila kwa huyu Prof napata mashaka na elimu yake isije kuwa ni profesa wa kiswahili mambo ya sayansi ya samaki angeijulia wapi?UDSM nayo siku hizi imekuwa bomu kweli kama maprofesa wake wanafanya utafiti na kuandika ripoti za namna hii ambazo hata mtoto wa darasa la 10 anajua siyo kweli. Mimi siyo mtu wa kemia wala elimu ya viumbe lakini hilo ninaliona wazi kabisa kutokana na elimu niliyopata form 1 ya miaka ya 70.
(1) Mto Mara una maji yanayotililika, kwa hiyo hayawezi kukosa oxygen hata siku moja. Samaki hao wanakufa kwa sumu siyo kwa sababu ya kukosa oxygen.
(2) Kinyesi na mkojo wa mifugo yote ni organic materials inayotoka kwenye mwili wa kiumbe aliye hai kwa hiyo material hiyo haiwezi kugeuka kuwa sumu baada ya kuchanganyika na maji; itachafua maji lakini haitafanya maji hayo yawe sumu.
(3) Kama maji hayo yana mfuta mengi kiasi cha kuathiri kiwango cha oxygen, mafuta hayo hawawezi kuwa yanatokana na kinyesi na mkojo kwa vile sehemu kubwa ya mkojo wa mnyama yeyote ni maji bali ni sehemu ndogo tu ndiyo yenye biochemical compunts na hasa urea, ambayo siyo mafuta.
Wanaujua ukweli sema wameamua kupindisha kwa maslahi yao na ya mabwana wakubwa...heavy metal zimeingia mtoni ndio zimeleta hiyo shida..wala sio porojo walizoleta kwenye hiyo ripoti yao feki.UDSM nayo siku hizi imekuwa bomu kweli kama maprofesa wake wanafanya utafiti na kuandika ripoti za namna hii ambazo hata mtoto wa darasa la 10 anajua siyo kweli. Mimi siyo mtu wa kemia wala elimu ya viumbe lakini hilo ninaliona wazi kabisa kutokana na elimu niliyopata form 1 ya miaka ya 70.
(1) Mto Mara una maji yanayotililika, kwa hiyo hayawezi kukosa oxygen hata siku moja. Samaki hao wanakufa kwa sumu siyo kwa sababu ya kukosa oxygen.
(2) Kinyesi na mkojo wa mifugo yote ni organic materials inayotoka kwenye mwili wa kiumbe aliye hai kwa hiyo material hiyo haiwezi kugeuka kuwa sumu baada ya kuchanganyika na maji; itachafua maji lakini haitafanya maji hayo yawe sumu.
(3) Kama maji hayo yana mfuta mengi kiasi cha kuathiri kiwango cha oxygen, mafuta hayo hawawezi kuwa yanatokana na kinyesi na mkojo kwa vile sehemu kubwa ya mkojo wa mnyama yeyote ni maji bali ni sehemu ndogo tu ndiyo yenye biochemical compunts na hasa urea, ambayo siyo mafuta.
wacha projo mtaalamu. Aliyekufundisha kuwa Sodium Cyanide inayeyuka haraka sana alikudanganya; in fact ni sumu kali kwa dozi ndogo sana, kwani huwa inakausha oxygen yote.Ni up.umbavu wa hali juu kufikiria kuwa eti kuna sumu za mgodini zingesababisha samaki kufa mto Mara. Ni fikra za kijinga kabisa kutoka kwa wajinga wasiojua chochote kuhusiana na shughuli za mineral processing.
Mgodi wa North Mara, mahali uliko halafu eti ukasababishe vifo vya samaki mto Mara, hata akili ndogo ya kawaida inakataa.
Kwanza ni sumu gani ambayo ingeweza kutembea toka mgodi wa North Mara mpaka ikafike mto Mara ikiwa bado ina nguvu ya kuua viumbe majini? Chemical pekee yenye sumu kali inayotumika kwenye mineral processing ni Sodium cyanide, ambayo kwa muda mfupi ikiwa exposed kwenye hewa hupoteza nguvu yake. Chemicals nyingine ni acids, ambazo zingeingia majini zingekuwa diluted kutokana na uwingi wa maji.
Hizo data wamezichukua hapa: Cow In and OutHii kali sana.