Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Hebu acheni usanii basi, mnataka kutuambia kuwa Hao ngo'mbe wakitaka kunya na kukojoa wa naenda mtoni? Hicho kinyesi hakiozi? Maprofesa wa Tanzania njaa zinawamalizaMusoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na nguvu za asili....