Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

mambo huwa yanaendeshwa kulingana na mkuu wa nchi aliyepo yuko vipi, ujinga kama huu usingeusikia enzi za jiwe

kwanza angefyeka wote mpaka waziri aliyeipokea iyo lipoti ya kijuha
 
Mambo ya Google

IMG_20220319_214907.jpg
 
Hii ni aibu kwa tuwao consider the so called wasomi. Mi najiuliza inamaana hao ng'ombe wanakojoa kwa wakati mmoja ndani ya mto au kila mmoja kivyake huko milimani afu mikojo inatirirka kama maji ya mvua?
 
ziwa la mwanza limeanza kuwa na changomoto kutokana na vyanzo vya mito na vijimito kwa sababu taka sumu kuwa nyingi na hii ni sample ila napeleka jarada kwa nini JF ni wabishi
 
Wahuni hawa tusipo amka wenyewe tunaenda kufa
Tupige kelele jaman hawa wahuni wanaenda kuleta disaster ya kansa baadae
 
Ni up.umbavu wa hali juu kufikiria kuwa eti kuna sumu za mgodini zingesababisha samaki kufa mto Mara. Ni fikra za kijinga kabisa kutoka kwa wajinga wasiojua chochote kuhusiana na shughuli za mineral processing...
Now we talking buddy...Ila ukifanya leachinga kwa kutumia Sodium Cyanide as the main lixiviant katika PH ndogo basi moja ya by products itakua HCN (Hydrogen cyanide gas) ambayo tofauti na ulivoelezea kwamba CN- hupoteza nguvu kwenye hewa,...Cyanide ikiwa kwenye form ya gaseous(HCN) ni more toxic kuliko unavodhani.

Kingine nachokubaliana na wewe watu wengi wana comment kwa mihemko tu,kabla tailings (Uchafu) unaotoka kwenye CIP tanks haujapelekwa kwenye bwawa la kutunzia mabaki ya tope lisilo na dhahabu (Tailing Storage Facility {TSF}) bas kiwango cha cyanide kilichobaki kwenye tope hilo huakikiwa ili kukidhi WAD cyanide ambayo kitaalamu concentration inatakiwa iwe below 50 ppm ikiwa zaidi ya hapo bas hufanyika dilution kupunguza makali ya cyanide kufikia hio 50 ppm ili tope lipate idhaa ya kuingia TSF
 
Na kingine cha kuongezea hizo TSF hua zina liners (Mazulia kama Carpet) gumu sana lenye GSM kuanzia 600 na kuendelea hivo kufanya ugumu wa maji maji kupenye kutoka kwenye hizo TSF na hata ikitokea imepenya bas concentration ya hio Cyanide bado inakua ni kidogo sana isio na madhara yoyote.

Wasiojua Cyanide kisamvu na mihogo yote ndio chimbuko (Source) kubwa ya cyanide duniani ndio maana mbuzi akila majani ya mihogo kwa wingi shughuli ataipata...lakini mihogo tunakula na haitudhuru kwa sababu concentration inakua iko chini sana.

NB: Haya ni maoni yangu kama mdau,hayo ya kinyesi 25kg siwez yasemea make logically tu haingii akilini
 
Endapo Ng'ombe mmoja wa kienyeji atafanikiwa kuzalisha kilo 25 za kinyesi na lita 21 za mkojo Kwa SIKU kipindi Cha kiangazi, je atatoa uchafu kiasi Gani kipindi Cha kiangazi?

Je, uchafu huu uzaliwa ukanda mmoja tu wa mto mara au Hali hii IPO Katika maeneo mengine nchini? Mbona hakuna rekodi ya Matokeo ya utafiti kama huu Toka kuumbwa Kwa Dunia?

Kupitia tafiti hizi za maprofesa: Kwako wewe msomaji, unadhani Profesa ni mtu wa aina gani? Ungetamani kuitwa profesa?

Unadhani kwanini Dr. Jafo kaelekeza kamati ikaandae Taarifa badala ya kupokea Taarifa? Je, profesa amewasilisha Taarifa ambayo haijakamilika? Findings zake amezitoa wapi? Vipi kuhusu recommendations?
 
Ng"ombe anakojoa ndoo nzima ya maji? Anakunya kilo 25? Huu siyo upotoshaji, ni upumbavu
 
Back
Top Bottom