Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Endapo Ng'ombe mmoja wa kienyeji atafanikiwa kuzalisha kilo 25 za kinyesi na lita 21 za mkojo Kwa SIKU kipindi Cha kiangazi, je atatoa uchafu kiasi Gani kipindi Cha kiangazi?
Je uchafu huu uzaliwa ukanda mmoja tu wa mto mara au Hali hii IPO Katika maeneo mengine nchini? Mbona hakuna rekodi ya Matokeo ya utafiti kama huu Toka kuumbwa Kwa Dunia?
Kupitia tafiti hizi za maprofesa: Kwako wewe msomaji, unadhani Profesa ni mtu wa aina gani? Ungetamani kuitwa profesa?
Unadhani kwanini Dr. Jafo kaelekeza kamati ikaandae Taarifa badala ya kupokea Taarifa? Je, profesa amewasilisha Taarifa ambayo haijakamilika? Findings zake amezitoa wapi? Vipi kuhusu recommendations?
Hawa professors wabaki vyuoni tu kuhubiri nadharia wasizokuwa na maarifa ya kuzitafisri kwa vitendo. Tafiti zao mara nyingi ni useless kwa jamii.