Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Utafiti unapingwa kwa utafiti, ni vyema uwepo utafiti mbadala ili kupinga sio maneno tu.Nchi nzima inajua kwamba ile report ni ya mchongo na kufanyana wajinga, kwa mwendo huu sasa samaki wa ziwa victoria ni hatari kuwala maana cows washasingiziwa na mabeberu yako huru kumwaga sumu zao mtoni maana profesa keshatoa majibu ya utafiti wake na tume yake isiyoeleweka
Pamoja na mapungufu ya the late Jpm kwenye hili uhakika ni kwamba angesimama na raia