Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuwa hata na sababu ya kuunda Tume. Ni uzembe wa maamuzi ktk uongozi. NEMC ni chombo chenye dhamana ya kazi hizo chini ya ofisi yake. Badala yake yeye anaunda Tume chini ya mtu ambaye hata hatujui utaalamu wake. Labda alitaka hadithi kama hizo.Mi naona mheshimiwa Jafo angeunda kamati nyingine na mwenyekiti wa kamati iyo awe King Msukuma,majibu yatakayotoka ndio nitayaamini
Hii inatakiwa iwe taasisi kamili kabisa......tena iwe na mkurugenzi wake na bodi yakeAfadhali wangesema ni Kamati ya mavi ya ngo'mbe na mikojo.
Umebishia buree, ungekuwa umewahi kufuga ng'ombe usingeona ajabu jambo hilo...kwanza kabisa ng'ombe huwa hashibi...Ng'mbe mmoja kinyesi 25kg kwa siku + 21 Lita za mkojo???????????? Sijawahi kufuga lakini hapa....Ngumu kumeza
Hivi kuku wa kienyeji na broiler wanakula na kunya kiwango kimoja? Ndio kama ngombe wa Canada na wa Mara. It's simply 'garbage in garbage out'.Umebishia buree, ungekuwa umewahi kufuga ng'ombe usingeona ajabu jambo hilo...kwanza kabisa ng'ombe huwa hashibi...
Tafiti zimeonesha kuwa ng'ombe 'hunya' 'mavi' kilogram 24 hadi 42 (kulingana na aina ya ng'ombe
View attachment 2162541
Hawa hawa ng'ombe wa Tanzania, umewahi kuwafuga au wazungumza tuu?Hivi kuku wa kienyeji na broiler wanakula na kunya kiwango kimoja? Ndio kama ngombe wa Canada na wa Mara. It's simply 'garbage in garbage out'.
Kwahiyo huo mchirizi wa mafuta umeanzia mto mara hadI hoima?yalikuwa mafuta ya petrol yatokanayo na maozea ya mimea..Kumbukeni hata mimea ukiisaga inatoa mafuta yanaweza endesha gari.Hivyo tukae mkao wa kula