Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

Bendera za CCM kila kona kwa maana ya kwamba hakuna chama kama CCM na ndicho kinachopendwa na watanzania lakini kwenye uchaguzi hakichaguliki mpaka kwa kutumia lafu za kupita bila kupingwa.
 
Bendera za CCM kila kona kwa maana ya kwamba hakuna chama kama CCM na ndicho kinachopendwa na watanzania lakini kwenye uchaguzi hakichaguliki mpaka kwa kutumia lafu za kupita bila kupingwa.
Wamebaki kuigiza tu hawana jipya
 
Ndiyo maana sehemu ilipo CDM hakuna nyumba za tembe
Sio kweli.

Chadema imekua Arusha miaka 10 pale unga limited nyumba za udongo ziko katikati ya jiji.

Chaema imekua Singida Mashariki kwa Lissu nyumba za tembe za kutosha.

Chadema imekua Bunda nyumba za nyasi za kutosha.

Ni vizuri kuongea mambo ya maana humu.
 
CCM MIKUTANO TUKIFANYA HAIWI ONLINE KAMA MALOFA CHADEMA INAKUWA PHYSICAK WATU WANALIPA HOTEL NK KUAMSHA MZUNGUKO WA PESA ENEO LA MKUTANO SIO MILOFA Chadema mifanya mikutani online na watsapp .
 
Unga limited hakuna nyumba ya tembe, udogo chini juu bati same to Bunda, Ikungi Lissu alipigwa risasi dikteta(mfu) kabla hajatekeleza ahadi zake.
 
CCM MIKUTANO TUKIFANYA HAIWI ONLINE KAMA MALOFA CHADEMA INAKUWA PHYSICAK WATU WANALIPA HOTEL NK KUAMSHA MZUNGUKO WA PESA ENEO LA MKUTANO SIO MILOFA Chadema mifanya mikutani online na watsapp .
CCM kinachowakusanya ni ngono
 
Mm kikubwa nipate amani tu haya mambo vya vyama hapana ata aje Rais wa TLP kikubwa tupewe Uhuru wa kufanya kaz na viwanda vya bia viongezwe
 
Acha uongo na njaa,bendera zipo kwenye mzunguko wa barabala /keep left,
Muda wa kujipendejeza umeisha,labda umfuate mwenda zake,na bado mtakula hadi majani,
Kama upo Dodoma kweli uje na mzee mgaya hapa chako ni chako mtanikuta.
 
Chama Cha Mafisadi
 
Wanafiki wapo kwenye "transition period" wanahamisha unafiki wao kutoka kwa mwendazake na sasa kuja rasmi kwa Mama SSH.
Wana wakati mgumu sana maama mama SSH tayari anawajua tabia zao ndiyo maana ameanza kuwapangua mmoja baada ya mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…