Kichwa chenyewe kimejaa samadi ya kitimotoMimi Chaumwa na husikaje na Chadema,ila kwenye ukweli nitawaambieni hata iwapo kwa wivu wenu mkaanza kukisaka kichwa changu kama mnavyofanya kwa kile cha gwaji
Sibora hiyo naambiwa kwako ni uharo wa mwenyeweKichwa chenyewe kimejaa samadi ya kitimoto
Hiyo ni mboga tamu balaa kwa mujibu wa simulizi za wahenga hata wale wa mrengo wako.Kichwa chenyewe kimejaa samadi ya kitimoto
Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.
Au nakosea?
Wanaojiunga ccm ubongo unapokwa getini,hivyo wayasemayo baada ya kuvuka geti lao ni upepo mtupu.Wewe kweli ni mwendawazimu!! Jisikitikie kwa kuwa mwendawazimu.
Yaani wajumbe wa kamati kuu waliochaguliwa kwenye uchaguzi huru, wa wazi na wa haki, ulioshuhudiwa na taasisi mbalimbali za ndani na nje ya nchi, na kusifiwa kuwa ni uchaguzi wa kiwango cha pekee, halafu wewe unawaita waliochaguliwa ni batili!! Bado unaamini una akili timamu?.
Kwahiyo Lema naye anakaimu hiyo nafasi yake? 😀😀..Msajili hajatengua uongozi wa Chadema.
..Kilichotokea ni Msajili amesema hawatambui wafuatao.
1.Katibu Mkuu.
2.Manaibu Katibu wakuu.
3.wajumbe wa Kamati Kuu walioteuliwa na Mwenyekiti.
4. Sekretariat ya Chadema iliyoteuliwa na Kamati Kuu.
..Mpaka hapo utaona kwamba hao sio uongozi mzima wa Chadema, au wajumbe wote wa Kamati Kuu.
..Sehemu kubwa ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema inatokana na watu wanapata uhalali kutokana na nafasi zao, mfano, Wenyeviti wa Kanda, Wenyeviti wa Mabaraza, etc.
Na ule wa Dodoma uliompitisha SAMIA bila hata kujaza fomu ulisikiaje? Ndo mana wakenya wana wadharau nyie mazuzu wa hapo lumumba!Nilisikia tu kuwa akidi ya wajumbe halali wa mkutano mkuu wao ule ilikuwa haijatimia, na Kuna watu walipiga kura ambao hawakuwa wajumbe, hivyo Kila zao la mkutano na uchaguzi ule lilikuwa bhatili. Au nakosea?
Kwa maana hiyo, mbona ni rahisi tu, kwamba uchaguzi uliofanyika CHADEMA na Tundu Lissu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa chama hicho ni BATILI! Na hivyo hivyo Makamu wote wa chama ni BATILI!Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.
Au nakosea?
Kama msajili hawatambui Karibu mkuu, manaibu makatibu wakuu na wajumbe wa kamati kuu, je hapo Kuna kamati kuu? Je kama kamati kuu ni bhatili je, inayo nguvu ya kukaimisha Katibu Mkuu na manaibu wake na wengine iliyowakaimisha?
Siwezi kujibu upuuzi uliopangwa na msajili na mpenzi wake Mchome. Mambo yote mahakamani tusichoshane hapa ,ccm mna upuuzi mwingi sana.Jibu swali hata kama ruzuku imezuiwa. Uhalali wa kamati kuu kuketi na kukaimisha viongozi wameupata wapi? Ulishaambiwa kiongozi ni haramu na aliowateua ni haramu je waliokaimishwa ni halali?
Hadi hapa nilidhani unafanya utani, kumbe kweli kichwani ni pungufu?Sina chuki hata kidogo, mm ni muumini mkubwa wa vyama vikunwa 2 vyenye nguvu vinavyopokezana uongozi. Lakini sipendi chama kinachosukumwa na wazungu wa Magharibi nyuma.
Futeni vyama vingi, ili chakula kipite vizuri kooni kwenu.Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.
Au nakosea?
Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.
Au nakosea?
Kwahiyo Lema naye anakaimu hiyo nafasi yake? 😀😀
Unaaakili kweli wewe nani kasema hakuna uongozi Chadema viongozi wote wa kuchaguliwa ni halaliMsajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa CHADEMA uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili.
Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina Mbowe inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.
Au nakosea?
Chawa wa mavuziniMsajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa CHADEMA uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili.
Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina Mbowe inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi