Smart Dude
JF-Expert Member
- Sep 23, 2023
- 553
- 644
Kulikiwa hakuna haja ya kumwita mwendawazimu, nadhani mwambie na kwa maoni yangu CDM sasa wako sahihi, Msajili hakuvunja kamati kuu bali hakutambua uteuzi wa wajumbe ambao anasema waliteuliwa kinyume cha katiba. Kwa kuwa kamati kuu iliyopo iko constituted sahihi, na kwa kuwa akidi imetimia, na kwa kuwa kwa mujibu wa katiba yao wanaweza kuteua Kaimu SG, na kaimu DSGs bara na visiwani kwahiyo hawajavunja katiba yao.Wewe kweli ni mwendawazimu!! Jisikitikie kwa kuwa mwendawazimu.
Yaani wajumbe wa kamati kuu waliochaguliwa kwenye uchaguzi huru, wa wazi na wa haki, ulioshuhudiwa na taasisi mbalimbali za ndani na nje ya nchi, na kusifiwa kuwa ni uchaguzi wa kiwango cha pekee, halafu wewe unawaita waliochaguliwa ni batili!! Bado unaamini una akili timamu?.
Sahihi kabisa...Lema ni Mjumbe wa Kamati Kuu wa kuteuliwa na Mwenyekiti.
..Nafasi yake haiwezekani kuwa ya kukaimu.
..Labda anaweza kuhudhuria vikao vya Kamati kuu kama mgeni aliyekaribishwa ktk kikao. Na katika mazingira hayo hataweza kupiga kura.
Kwani mngombea na mgombea mwenza wa ccm walipatika kwa ushindi wa kura ngapi kutoka kwa wapinzani wao ndani ya chama chenu? tuanzie hapa then mlete msajili ajibu kama huna jibu.Jibu swali hata kama ruzuku imezuiwa. Uhalali wa kamati kuu kuketi na kukaimisha viongozi wameupata wapi? Ulishaambiwa kiongozi ni haramu na aliowateua ni haramu je waliokaimishwa ni halali?
Unakipenda ww kwa kuwa ni nyumbu, huna akiliKavulana vipi chuki yako kwa chama pendwa?Chuki pelekavpale chaubwabwa kwani kimevamiwa na wasaliti.
Uongozi wa CHADEMA unajuwaje batili wakati uchaguzi ulifanyika kwa uhuru na uwazi na kila mtu akashuhudia hadi msajili mwenyewe na wanaomtuma? Mbona hakuingilia uteuzi wa CCM wa mgombea urais uliofanywa kinyume na Katiba ya chama cha Mapinduzi?
Mwite mbowe ukitaka, lakini ile kamati kuu iliyopota ndio Iko sawa kwa mujibu wa msajiri, irudishwe kwanza ili chama kipate ruzuku na mambo mengine ya chama yakwamuke wakati kamati kuu mpya ikienda mahakamani kutetea haki yao. Au nakosea?Mboye ndiyo nani?
Hoja ya Msajili tufanye ni kweli, je kamati kuu Haina mamlaka ya kukaimisha? Nitakuwa wa mwisho kuaminiJibu swali tafadhali juu ya nguvu na uhalali wa kamati kuu batili kwa mujibu wa msajili wa vyama vya siasa kuweza kuketi na kukaimisha viongozi wapya au walewale ambao ni batili kwenye nafasi zilezile ambazo msajili amewatuhumu nazo kiasi cha hata kuzuia ruzuku ya chama.
Yaani binafsi sielewi kamwe...eti kamati kuu huru haiwezi kukaimisha?Wewe kweli ni mwendawazimu!! Jisikitikie kwa kuwa mwendawazimu.
Yaani wajumbe wa kamati kuu waliochaguliwa kwenye uchaguzi huru, wa wazi na wa haki, ulioshuhudiwa na taasisi mbalimbali za ndani na nje ya nchi, na kusifiwa kuwa ni uchaguzi wa kiwango cha pekee, halafu wewe unawaita waliochaguliwa ni batili!! Bado unaamini una akili timamu?.
Hata mnyika ni Katibu wakati wa mbowe, Katibu wakati wa Lissu na Katibu tena wa kukaimishwa. Hii inaonyesha Mnyika anawadouble cross wenzake. Ni batili. Yaani anapiga Kona na kwenda kufunga goli mwenyewe.Hata tume huru ya uchaguzi ni batili kwani ni walewale wa tume ya uchaguzi, kilichofanyika ni kusilimu
Anaye kaimisha Katibu Mkuu na Manaibu katibu Mkuu ni Mwenyekiti/Makamu Mwenyekiti wa Chadema kwa mujibu wa katiba. na wajumbe wengine wanabaki kuwa wajumbe kwa mujibu wa nyadhifa zao.Kama msajili hawatambui Karibu mkuu, manaibu makatibu wakuu na wajumbe wa kamati kuu, je hapo Kuna kamati kuu? Je kama kamati kuu ni bhatili je, inayo nguvu ya kukaimisha Katibu Mkuu na manaibu wake na wengine iliyowakaimisha?
Kwanini hawatambui? Jibu hili please...Msajili hajatengua uongozi wa Chadema.
..Kilichotokea ni Msajili amesema hawatambui wafuatao.
1.Katibu Mkuu.
2.Manaibu Katibu wakuu.
3.wajumbe wa Kamati Kuu walioteuliwa na Mwenyekiti.
4. Sekretariat ya Chadema iliyoteuliwa na Kamati Kuu.
..Mpaka hapo utaona kwamba hao sio uongozi mzima wa Chadema, au wajumbe wote wa Kamati Kuu.
..Sehemu kubwa ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema inatokana na watu wanapata uhalali kutokana na nafasi zao, mfano, Wenyeviti wa Kanda, Wenyeviti wa Mabaraza, etc.
Mwenyekiti/Makamu wamepata wapi hiyo go ahead kama sio kikao cha Kamati Kuu (batili)?Anaye kaimisha Katibu Mkuu na Manaibu katibu Mkuu ni Mwenyekiti/Makamu Mwenyekiti wa Chadema kwa mujibu wa katiba. na wajumbe wengine wanabaki kuwa wajumbe kwa mujibu wa nyadhifa zao.
Kwani waangalizi wanajua akidi yenu ilienea siku ile? Kwani waangalizi wanawafahamu wajumbe wenu halali wote? Waliwahesabu?Wewe kweli ni mwendawazimu!! Jisikitikie kwa kuwa mwendawazimu.
Yaani wajumbe wa kamati kuu waliochaguliwa kwenye uchaguzi huru, wa wazi na wa haki, ulioshuhudiwa na taasisi mbalimbali za ndani na nje ya nchi, na kusifiwa kuwa ni uchaguzi wa kiwango cha pekee, halafu wewe unawaita waliochaguliwa ni batili!! Bado unaamini una akili timamu?.
Yaani akina Mnyika wamejikaimisha wenyewe!!..Lema ni Mjumbe wa Kamati Kuu wa kuteuliwa na Mwenyekiti.
..Nafasi yake haiwezekani kuwa ya kukaimu.
..Labda anaweza kuhudhuria vikao vya Kamati kuu kama mgeni aliyekaribishwa ktk kikao. Na katika mazingira hayo hataweza kupiga kura.
Una akili nyingiKulikiwa hakuna haja ya kumwita mwendawazimu, nadhani mwambie na kwa maoni yangu CDM sasa wako sahihi, Msajili hakuvunja kamati kuu bali hakutambua uteuzi wa wajumbe ambao anasema waliteuliwa kinyume cha katiba. Kwa kuwa kamati kuu iliyopo iko constituted sahihi, na kwa kuwa akidi imetimia, na kwa kuwa kwa mujibu wa katiba yao wanaweza kuteua Kaimu SG, na kaimu DSGs bara na visiwani kwahiyo hawajavunja katiba yao.
Kwa maoni yangu hii ni sahihi zaidi kuliko kutunishiana misuli huku wakibuy muda wa kuitisha baraza kuu pale watakapokuwa wanaweza kumanage vizuri mambo fulani fulani.