Kamati kuu CHADEMA ni batili kukaimisha ni batili na waliokaimishwa ni batili

Mwite mbowe ukitaka, lakini ile kamati kuu iliyopota ndio Iko sawa kwa mujibu wa msajiri,
Kwanza haitwi "msajiri" bali ni "msajili" halafu wewe hii kwamba msajili kasema Kamati Kuu ya zama za Mbowe ndiyo halali umeambiwa na Ponjoro?
 
Kwani concern ya msajili ni ipi?
 
Kwanini hawatambui? Jibu hili please.

..Msajili hawatambui kwasababu amekubaliana na madai yaliyotolewa kwamba akidi haikuwa imetimia ktk kikao cha baraza kuu kilichowateua.
 
Chadema pelekeni utetezi wenu kwa masajiri kama kweli mna uhakika kuwa akidi ya wajumbe ilitimia na hakuna asiyekuwa mjumbe alipiga kura. Msivunje kioo bali naweni uso.
Huyu Msajili kiukweli ukifikiria Sana ana lengo baya, kwa nn asingewaita chadema akajadiliana nao kabla ya kutoa hayo mabarua kama ni mlezi wa vyama?
 
Hata mnyika ni Katibu wakati wa mbowe, Katibu wakati wa Lissu na Katibu tena wa kukaimishwa. Hii inaonyesha Mnyika anawadouble cross wenzake. Ni batili. Yaani anapiga Kona na kwenda kufunga goli mwenyewe.
Huna point boss
 
Siku zote nilijua huna akili ila sikujua kama huna kabisa
 
Kama msajili hawatambui Karibu mkuu, manaibu makatibu wakuu na wajumbe wa kamati kuu, je hapo Kuna kamati kuu? Je kama kamati kuu ni bhatili je, inayo nguvu ya kukaimisha Katibu Mkuu na manaibu wake na wengine iliyowakaimisha?
Ili upate uhalali wa ku - argue, kwanza uielewe katiba ya CHADEMA

Ndani ya katiba ndo kuna composition ya wajumbe wa kamati kuu

Na kwa kadiri ya ufahamu wangu kamati kuu ina zaidi ya wajumbe 30

Msajili wa vyama anadai kutowatambua wajumbe wasiofika 10.

Maana yake nini, hata kama hao 10 hawana uhalali wa kushiriki vikao vya maamuzi, kolamu inayobaki inatosha kufanya uamuzi wowote kisheria na kikatiba.

Sasa tuambie, kwanini maamuzi ya kamati kuu ni batili? Wajumbe (kolamu) haitoshi? Nini msingi wa hoja yako?
 
Katibu wa kikao cha Kamati kuu ni nani? Kama kichwa cha samaki kimeoza mkia ni safi?
 
Katibu wa kikao cha Kamati kuu ni nani? Kama kichwa cha samaki kimeoza mkia ni safi?
Kikawaida mwenyekiti au karibu wakati mwingine aweza patikana ndani ya kikao, Cha muhimu wajumbe husika
 
Katibu wa kikao cha Kamati kuu ni nani? Kama kichwa cha samaki kimeoza mkia ni safi?

Unazidi kuonesha ulivyo punguani.

Hivi mwenyekiti wa CCM anapopeleka jina pendekezwa la katibu mkuu na mwenezi kwenye kikao cha Halmashauri kuu, katibu wa mkutano huo wa Halmashauri kuu huwa ni nani? Mbona unakuwa mjinga wa kiwango hicho hata kwa mambo yaliyo wazi kabisa?? Pole sana kwa kukosa akili panuzi
 
Kikawaida mwenyekiti au karibu wakati mwingine aweza patikana ndani ya kikao, Cha muhimu wajumbe husika
Soma maandiko Yako vizuri "kikawaida mwenyekiti au katibu wakati mwingine......" Kawaida ni ipi na isiyokawaida ni ipi?
 
Mbowe atarudi unyamaze sasa
 
Pole wewe uliyesitishiwa ruzuku kwa upumbavu wenu. Hivi unadhani msajili wa vyama ni mpumbavu kama wewe? Hapa ni maswali na majibu kwa wasioelewa Katiba yenu na nini msajili hakubaliani nacho. Ndio maana nikaulia kama nakosea au la. Mwehu we.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…