Hatari sana, Dr. amepelekwa kuwa DC Nanyumbu mkoa wa Mtwara, kama adhabu kwa kutoonesha desturi na mila ya kiCCM alipokuwa mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya
Dkt. Muchunguzi - Sakata la aliyekuwa katibu mkuu, lachukua sura mpya, hatutaki upotoshaji
View: https://m.youtube.com/watch?v=9A9UrgWuVdw
Dr. Dennis Muchunguzi lazima tupongeze kazi pia maamuzi ya busara ya mwenyekiti wa CCM taifa, na akemea yanayofanywa na viongozi waliopata kuwa na nyadhifa kubwa ndani ya chama ....
Dkt. Dennis Muchunguzi - Tunamtaka Katibu Mkuu Mpya Atakayeweza Kufikiri Na Kuleta Mabadiliko Ya Kifikra Kusaidia Nchi na Chama ..
View: https://m.youtube.com/watch?v=Dl_qUvGPFgA aaaa
Dkt. Muchunguzi asema CCM Ni chama kikubwa kikongwe chenye miaka mingi kiumri na bado kinaweza kubadilisha viongozi huku kikiendelea kuimarika kupitia mabadiliko ya ndani ya chama ...