Wanaenda kujadili mambo ya madaraka, wakati umeme na maji yamewashinda. Wazungu kutuita manyani hawajakosea.View attachment 2423823
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika Jumanne tarehe 22 Novemba, 2022 Dodoma.
View attachment 2423825
Kwani Rais anawakirisha wachama gani!Hivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.
Hivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.
Hii ya kufanyia vikao ikulu nadhani imeanza na mwenda zake. Niko tayari kukosolewa.Hivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.
Watu hutamka au kuandika hivyo ili kuweka msisitizo na hisia ya dharau.Usijali.😂😂😂😂Umbwa= Mbwa [emoji240]
Siyo rahisi hivyo sheikh!Mara paap "mi nawaachia li nchi lenu haiwezekani kila nachofanya hamkioni wala kukithamini, mijitu ya bara sijui ikoje. Siipendi na misura yenu kama mnasimulia ajari ya moto"
Tuelekeze huo mfumo mkuu.Wengine "tumezaliwa" miaka ya "aftatu" ya hivi karibuni.Haya yote ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
More mileage?"Hau"!Wakimfurusha je?Uchaguzi UVCCM umewatia doa wanapanga waje na kiki gani kufunika, Kwa sasa bashiri hawawezi kumgusa maana wataendelea kumpa more mileage
🤣🤣🤣Wakijadili mgao wa umeme na maji mniite Umbwa nimekaa paleee!
Sisiemu hoyeeee.....udumu mpaka kiamaTunalala giza tunaamka hatuna maji na wengine hawana ajira wala hawajui watamudu vipi gharama za maisha.
Kila kitu kipo juu.
Ila kuna fedha za kulipa vyeti feki na wafanyabiashara waliokwepa kodi.
Sidhani kama anamjua mkuu. Angemjua huyo asingesema alichosema.unamkumbuka Dr. Gama