Kamati Kuu ya CCM yakutana Ikulu kwa dharula chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia

Nafikiri tukodishe viongozi toka Ulaya kama tufanyavyo kwa makocha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi inawezekana kukodisha Kweli?like tuwe na makamo wa raisi Mzungu
 
Hivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.
Chamadola
 
Hivi inawezekana kukodisha Kweli?like tuwe na makamo wa raisi Mzungu
Haha labda viongozi wa kuongoza taasisi kama alivyofanya mkapa Tanesco aliwapa sijui Group 5 au7 hivi.

Rwanda kuna taasisi muhimu wamepewa wageni mmoja toka Israel na mataifa mengine.
 
Kutumia Ofisi zetu kwa Shughuli za Chama hii imekaa vipi ? Wanalipia ? Hii sio Mali ya Chama mjue!???

Wanasiasa wa Sasa inabidi wajue ukiwa Rais ni Rais wa Nchi na sio Chama kama vipi Rais asiwe na kofia nyingi shughuli za Chama amwachie mwingine..
Kwani huyu ndiyo rais wa kwanza kuitumia ikulu kwa shuguli za kichama

Ova
 
Bashiru Ally kikaangoni
Huu sio wakati wa kutumia Kodi za wananchi kukaangana. Huu ni wakati wa kutatua kero ya maji, umeme na mfumuko wa Bei.
Kwa Mara ya kwanza maharage yameota mbawa.
 
Kwani huyu ndiyo rais wa kwanza kuitumia ikulu kwa shuguli za kichama

Ova
Kwahio watu kama walikuwa wanakula nyama za watu waendelee kula nyama za watu ?

Usipokemea Ujinga, Ujinga unaendelea; Na haya mambo ya fulani alifanya basi tuendelee kuyafanya leo kuna watu wangekuwa bado utumwani
 
Mzee Butiku naye uko ITV karusha kijembe,kuwa kwanini watu hawakuwajibika kwenye ripoti ya CAG iliyojadiliwa na Bunge lilipokaa kama kamati!
Mambo ni mengi,muda ni mchache 🤣🤣
 
Mara paap "mi nawaachia li nchi lenu haiwezekani kila nachofanya hamkioni wala kukithamini, mijitu ya bara sijui ikoje. Siipendi na misura yenu kama mnasimulia ajari ya moto"
Aisee ilo neno Wazanzibara tunalisubiria kwa hamu kubwa.Watu wataoga Balimi Lager!
 
The can do any thing the want but this Time God Him self stand with Tanzania and He want to do some thing we could never believe just🤐🤐🤐🤐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…