Kamati Kuu ya CHADEMA iliyoongozwa na Tundu Lissu, yateua Wakurugenzi wapya

Naona waislam wamependelewa sana aisee
 
Mwenyekiti amkumbuke na Twaha Mwaipaya kwenye uongozi.
Kijana anakipigania sana Chama
 
Kamati Kuu ya Chama hicho imeamua kuwe na Kurugenzi ya Mambo ya Nje na Diaspora na kuwe pia na Kurugenzi ya Mawasiliano na Uenezi.

Hapo Awali kulikuwa na Kurugenzi ya Mawasiliano, Itifaki na Mambo ya Nje .

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hii hapa.



Ni Matarajio yetu kwamba Mabadiliko haya yataongeza Ufanisi na kukipeleka Chama Mbele zaidi.

Mungu Ibariki Chadema
 
Daah

Kwahiyo zama za akina John Mrema, Malisa, Nkya, Henry Kileo ndio zimefikia ukingoni
 
Garubindi kachukua nafasi ya rugemeleza nshala kwani keshatenguliwa?
 
Dikteta uchwara anajenga chama
 
Wewe ungependa hadi wakati huu wawe wamefanya nini ili kukutambulisha kuwa "wapo tayari kwa uchaguzi"? Hiyo "hamsha hamsha" unayo isubiri wewe ni nini hasa!
Hajui...

Hata hatambui kuwa kauli mbiu tu ya NO REFORMS NO ELECTION imeamusha mbwa zilizokuwa zimelala na sasa zinabweka hovyo mfano Makalla (Katibu Mkuu CCM), Steven Wassira (Makamu m/kiti CCM)..
 
Naomba tu kuuliza
Kile cheo cha Mkurugenzi wa Itifaki Mawasiliano na mambo ya nje ambaye alikua John Mrema ndo amepewa John Kitoka au hiki ni cha Kitoka ni cheo kipya ?
John Mrema mkurugenzi wa fedha

wamemgwaya

Chezea wewe

Lisu na ubabe wake baada ya kuona tone tone linadoda anaogopa kumtoa ukurugenzi wa fedha John Mrema kuwinda pesa za wachaga
 
Mna safari ndefu sana ya kuja kukifikia chama Cha CCM..yaani hapo hamna kabisa sura ya kitaifa..mbona huku mitaani tukikaa tunajumuika watu wote wa dini zote ila kwenye uongozi wenu tu ndo haiwezekani?
Ubaguzi na hisia za kibaguzi zinakutesa. You are too primitive na dini za wakoloni
 
This is Great for Great Men and Women
 
Huu ni uteuzi wa chama cha siasa au kikundi cha kwaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…