Kamati Kuu ya CHADEMA iliyoongozwa na Tundu Lissu, yateua Wakurugenzi wapya

TAARIFA KWA UMMA

Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana katika kikao chake maalum cha siku mbili kuanzia juzi tarehe 11 mpaka 12 Machi 2025 ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu imefanya uteuzi wa Wakurugenzi kwa mujibu wa ibara ya 7.7.16 (b) na Wataalamu mbalimbali wa Makao Makuu ya Chama kwa mujibu wa ibara ya 7.7.17 (e) ya Katiba ya Chama toleo la mwaka 2019 kama ifuatavyo;

A) WAKURUGENZI
1. John Pambalu; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi.

2. John Kitoka; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Diaspora.

3. Wakili Gaston Garubindi; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu.

4. Bi. Brenda Rupia; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi.

B) WATAALAMU
1. Bi. Catherine Ruge Mtaalamu wa dawati la jinsia.

2. Leornad Magere Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji.

Aidha, Kamati Kuu imethibitisha Makatibu wa Kanda nne za Chama kwa mujibu wa ibara ya 7.7.16 (c) kama ifuatavyo;

1. Bi. Ashura Masoud; amethibitishwa kuwa Katibu wa Kanda ya Kati inayojumuisha mikoa ya Dodoma, Morogoro na Singida.

2. Benjamin Ntele amethibitishwa kuwa Katibu wa Kanda ya Pwani inayojumuisha mikoa ya kichama ya Ubungo, Ilala, Kinondoni, Temeke na Pwani.

3. Totinan Ndonde amethibitishwa kuwa Katibu wa Kanda ya Kaskazini inayojumuisha mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga.

4. Edger Malimusi amethibitishwa kuwa Katibu wa Kanda ya Kusini inayojumuisha mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma

Imetolewa leo Jumatano tarehe 12 Machi 2025.

Apolinary Boniface Margwe
Msaidizi - Kurugenzi ya Mawasiliano na Uenezi
View attachment 3267771
Hongereni sana kwa walioteuliwa. Kazi imalizike
 
Duh!
Wagalatia watupu!!!
 
Hajui...

Hata hatambui kuwa kauli mbiu tu ya NO REFORMS NO ELECTION imeamusha mbwa zilizokuwa zimelala na sasa zinabweka hovyo mfano Makalla (Katibu Mkuu CCM), Steven Wassira (Makamu m/kiti CCM)..
Na wala hajui kwamba Msajiri wa Vyama vya Siasa (kifaa cha CCM yenyewe) Mtungi, anaweweseka akisema Lissu anafanya "Propaganda za kisiasa" kuhusu kauli hiyo ya NO Reform , No Election".
Isitoshe, kifaa muhimu wanacho kitumia CCM kufanya uchafuzi, POLISI, tayari wametangaza mazoezi ya KIVITA kwa kudhani watu watakuwa na hofu juu ya kauli hiyo!
Na bado...!
 
Tone tone inakuuma sana
Tone tone imegoma John Mrema alisema mnataka kumfukuza uanachama muweke mtu wenu kama mkurugenzi wa fedha

Lisu kanywea kamuacha kumtoa baada ya kuona tone tone limedoda sababu ya matajiri wa kichaga kuzira kwa mchezo mchafu Lisu alimchezea Mbowe kushinda uenyekiti

Matqjiri wakubwq wa kichaga Tone tone wakagoma kuchangia

Kaunda muundo feki feki cheo cha Mkurugenzi wa fedha karuka

Wenye macho na akili zetu tunaona wajinga wa Chadema tu ndio hawawezi ona
 
Umeuliza swali zuri, lakini nadhani jibu lake unalijuwa mwenyewe!
Sasa sijui, hawa CHADEMA ulitaka wakatafute hawa watu ambao hawapo ndani ya chama chao kwa sababu hawakutaka wenyewe kuwemo ndani ya chama hicho? Au tuseme CHADEMA waliweka masharti ya watu fulani wasijiunge na chama hicho?
Kwa upande wapili, tazama ndani ya CCM ilivyo sasa, bila shaka inavutia sana kwa watu wa aina yako ndiyo maana ukaona upate shauku ya kuwananga CHADEMA juu ya jambo hilo!
Najuwa vizuri, sasa zinatumika lugha za mafumbo, lakini mtu makini hakosi kujuwa maana inayo lengwa.
Mgawanyiko wa taifa letu hauwezi kuzuilika kwa lugha za namna hii.

Usiwe na shaka, chama cha CCM sasa hivi ni chama cha wasaka fursa/maslahi tu; iwe ni kwa makundi kama hayo unayo yazungumzia kwa mafumbo au makundi mengine yote ndani ya chama hicho.
Yaani kwa safu hz muislamu anayejitambua lazima akiogope hiki chama.
Hapo bado hatujajua chrome cha Padri Kitime, Padri Slaa and the likes.
 
Alivyorudi umeumia sana. Ulidhani atafukuzwa ufurahi
Hata kama mnajitia kumrudisha pesa za matajiri wakubwa team Mbowe wa nje ya nchi na ndani waliokuwa wanafadhili Chadema hawarudi ng'oo

Tone tone yenu imebuma na itaendelea kubuma

Janja ya nyani sisi wenye akili kwisa gundua sisi hindi toka New Delhi India
 
Mna safari ndefu sana ya kuja kukifikia chama Cha CCM..yaani hapo hamna kabisa sura ya kitaifa..mbona huku mitaani tukikaa tunajumuika watu wote wa dini zote ila kwenye uongozi wenu tu ndo haiwezekani?
Yaani kuna chama kinatamani kuwa kama ccm? Mitaa ipi mnayokaa kwa kubalance dini boss? Nenda Zanzibzar kahesabu ratio ya waisilamu na wakristo. Ama nenda nyanda za juu kusini unipe huo mchanganyiko wa kidini. Naona unadhani dini ni kitu cha maana hadi iwe kigezo cha uongozi. Hayo mawazo ya kipuuzi ni ya kiccm.
 
Ukifika uchaguzi unaiba kura na kupiga wanachi na kuwaua wakati inakubalika nchi mzima.
 
Yaani kuna chama kinatamani kuwa kama ccm? Mitaa ipi mnayokaa kwa kubalance dini boss? Nenda Zanzibzar kahesabu ratio ya waisilamu na wakristo. Ama nenda nyanda za juu kusini unipe huo mchanganyiko wa kidini. Naona unadhani dini ni kitu cha maana hadi iwe kigezo cha uongozi. Hayo mawazo ya kipuuzi ni ya kiccm.
Kama mna malengo ya kushika Dola lazima u'balance' hizo inshu..otherwise mnapoteza muda wenu Bure tu
 
Si mliseme Mbowe na pesa za ccm wakiondoka Chama kinalufa? Kiko wapi sasa
Chadema inapumlia mashine nakipa miezi sita tu toka sasa kitakuwa hakina uwezo wa kulipa mishahara ya wafanyakazi wa kudumu ofisi zao,madereva,,umeme,maji ,,pango ,gharama za service za magari ya Chadema nk

Miezi sita nawapa Chadema kitakuwa kiko hoi bin taabani kifedha na Lisu ataachia ngazi kwa hiari au kulazimishwa na wanachama

Uongozi wake hautazidi miezi sita kuanzia mwezi huu kabla kutema bungo
 
Kama mna malengo ya kushika Dola lazima u'balance' hizo inshu..otherwise mnapoteza muda wenu Bure tu
Dini zinawagusa wazee kama ww maana ndio bado wanaishi kwa story za imani. Kizazi cha sasa hata hizi dini wanaigia kwa mazoea tu wala sio kivile. Ulimwengu wa technology huu bado unadhani kuna mtu anapoteza muda kwa siasa za mitazamo ya kidini?
 
Tone tone imegoma John Mrema alisema mnataka kumfukuza uanachama muweke mtu wenu kama mkurugenzi wa fedha

Lisu kanywea kamuacha kumtoa baada ya kuona tone tone limedoda sababu ya matajiri wa kichaga kuzira kwa mchezo mchafu Lisu alimchezea Mbowe kushinda uenyekiti

Matqjiri wakubwq wa kichaga Tone tone wakagoma kuchangia

Kaunda muundo feki feki cheo cha Mkurugenzi wa fedha karuka

Wenye macho na akili zetu tunaona wajinga wa Chadema tu ndio hawawezi ona
Lete huwo ushahidi wako wa unayosema na sio propaganda.
 
Back
Top Bottom