We akili yako mbovu sana. Sasa kama unapanga matokeo ni lazima mwambe ashinde sasa kuna umhimu gani wa watu kugombea. Kura ndo zitaamua. Halafu inaonekana we ni yale ya Lumumba. Ungekuwa CHADEMA ungeijua katiba vema hata usitaja mahakama.Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Cecil Mwambe ametimiza haki yake ya kidemokrasia ila atakayempigia kura eti awe mwenyekiti wa Chadema atakuwa mwehu kwelikweli! Yani wewe ni mwanamchama kweli wa Chadema then unatoka kwako kwenda kumchagua Cecil Mwambe mtu aliyehamia 2015 akitokea CCM awe mwenyekiti! Emb tuache mzaha bwana!
Wenye akili wanajua toka zamani Mwambe hawezi kushinda, labda Jecha awe ndio msimamizi wa uchaguzi, ninachokiona hapa ni unajaribu kupima kina cha maji kwa kuingiza mguu mmoja, waeleze upepo haujakaa upande wao.Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Kweli! Tunataka uchaguzi huru na haki. Akipendelewa mmoja, hakitaeleweka!Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
KWENDA WAPI? MNATAKA MPENYEZE SHEKELI AUCecilia mwambe atatuvusha
Cc ccm tutamdhamini mwambe kwanza mahakama ni zetu aaagh mbona tulimtumia lipumbavu na tuliweza.Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Sasa jivi hadi mikutano tunafanyia kea wasu **** na ndege tunapokelea uwanja wa hukohuko kwa wasu ****Ujue usijue haitusaidii kitu, wewe endelea na chama chako cha wasukuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana Mbona hamjaenda Mahakamani kushtaki kwanini Mwanaharakati huru Cprian Musiba hajajumuishwa na kina Kinana,Makamba na Membe kuhojiwa?Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Ni wakati sasa wa chama kumchagua Cecil Mwambe. Mbowe apumzike na tunashukuru kwa mchango wake.
Endeleeni kuimba mnaimani na binadamu yule.Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Haya msikie mtu kachokaDrama tu zile huu uchaguzi unamkono wa ccm ,chadema ni mchepuko wa ccm
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
mutaenda mahakamani wewe na nani?????? pls hii sio ccm ambapo weyeketi wenu jiwe alipita kwa 100%, hii ni democracy, hatuna huo ushamba wa yiyi wanaccm, tena kaa wewe umemuchoka mhe Mbowe, sisi wengine bado yeye ni shujaa kwetu, so peleka hizo story zako kwa pole poleCecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
maoni yako hayo, ile wanachadema ndio wako na uamuzi wa mwisho kupitia kura zaoNishasema chadema ni kibubu cha mbowee , akishinda mwambe nitajua chadema nichama cha siasa kweli.
asante sana afisa, itakuwa ni ujinga wa ajabu kumchagua cecil mwambe, damu yake huyu mama ni ya ccm, sijui nani ataweza kumpa kuraCecil Mwambe ametimiza haki yake ya kidemokrasia ila atakayempigia kura eti awe mwenyekiti wa Chadema atakuwa mwehu kwelikweli! Yani wewe ni mwanamchama kweli wa Chadema then unatoka kwako kwenda kumchagua Cecil Mwambe mtu aliyehamia 2015 akitokea CCM awe mwenyekiti! Emb tuache mzaha bwana!