Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kura yako ni ya muhimuNi wakati sasa wa chama kumchagua Cecil Mwambe. Mbowe apumzike na tunashukuru kwa mchango wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura yako ni ya muhimuNi wakati sasa wa chama kumchagua Cecil Mwambe. Mbowe apumzike na tunashukuru kwa mchango wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisikika mlevi mmoja wa Lumumba akijitapa na kujiapizaCecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Ha ha ha ha ! Eti mwambe, huyo nichambo hata kwa nguvu mbowe hawezi kukubari , akishinda mwambe ujue sumu huonjwa kwaulimi.
Nawatakia uchaguzi mwema na uwe huru na wazi.
Nishasema chadema ni kibubu cha mbowee , akishinda mwambe nitajua chadema nichama cha siasa kweli.
Ya Kaizer tumuachie Kaizer. Pikipili iko shamba sisi wa ccm isituwashe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Drama tu zile huu uchaguzi unamkono wa ccm ,chadema ni mchepuko wa ccm
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Cecil Mwambe ametimiza haki yake ya kidemokrasia ila atakayempigia kura eti awe mwenyekiti wa Chadema atakuwa mwehu kwelikweli! Yani wewe ni mwanamchama kweli wa Chadema then unatoka kwako kwenda kumchagua Cecil Mwambe mtu aliyehamia 2015 akitokea CCM awe mwenyekiti! Emb tuache mzaha bwana!
MsemajiUkweli hebu kuwa objective kidogo huu uchaguzi kuna mapungufu yapi unayoyaona mpaka kusema siasa za kisanii ?Siasa za Tanzania katika ubora wake wa kisanii!
Lubuva aende kutoa matokea ya uchaguzi huo?Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Hayo yameujaza moyo wako, haya na wewe ni mchepuko wa nani hapo Lumumba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za Tanzania katika ubora wake wa kisanii!
Wajumbe wengi waliomchoka mbowe ni kinanani? Unauhakika na unachosema? Au unamaanisha wanaccm wengi wamemchoka Mbowe, maana naona ndo wanaoiga campaign za Mbowe kutoka.Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Acha ujinga kama wajumbe wanaona Cecil Mwambe anafaa kumrirhi Mbowe basi atashinda. Vinginevyo itakuwa na tafsiri kuwa wajumbe bado wana imani na Mbowe. Anyway tutalivuka daraja tutakapoufikia mto!Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Uchaguzi , huru , wa wazi, wa haki na wa kistaarabu.
Siyo huko kwenu ukitajwa uchaguzi mnaanza kuchomekeana Mikesi, rushwa za ngono na kutekana.
CCM ijifunze ustaarabu kutoka kwa CDM kuhusu demokrasia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba ya Chadema ilibadilishwa kwaajili ya Mbowe kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa chama kama kina Mrema, Lipumba, cheyo, Hashim rungwe spunda, dovutwa n.kNi wakati sasa wa chama kumchagua Cecil Mwambe. Mbowe apumzike na tunashukuru kwa mchango wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema CCM mmemchoka Mbowe, mbona unazunguka sana?Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili