Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Uchaguzi , huru , wa wazi, wa haki na wa kistaarabu.

Siyo huko kwenu ukitajwa uchaguzi mnaanza kuchomekeana Mikesi, rushwa za ngono na kutekana.

CCM ijifunze ustaarabu kutoka kwa CDM kuhusu demokrasia.
Drama tu zile huu uchaguzi unamkono wa ccm ,chadema ni mchepuko wa ccm

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atapata kura yake pekee au na mapandikizi yaliyo salia ndani ya chama
Cecil Mwambe ametimiza haki yake ya kidemokrasia ila atakayempigia kura eti awe mwenyekiti wa Chadema atakuwa mwehu kwelikweli! Yani wewe ni mwanamchama kweli wa Chadema then unatoka kwako kwenda kumchagua Cecil Mwambe mtu aliyehamia 2015 akitokea CCM awe mwenyekiti! Emb tuache mzaha bwana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Wajumbe wengi waliomchoka mbowe ni kinanani? Unauhakika na unachosema? Au unamaanisha wanaccm wengi wamemchoka Mbowe, maana naona ndo wanaoiga campaign za Mbowe kutoka.
Akishinda Mbowe uchaguzi utakuwa sio halali lakini akishinda Cecil mwmbe uchaguzi utakuwa halali, sivyo? What a silly jocke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Acha ujinga kama wajumbe wanaona Cecil Mwambe anafaa kumrirhi Mbowe basi atashinda. Vinginevyo itakuwa na tafsiri kuwa wajumbe bado wana imani na Mbowe. Anyway tutalivuka daraja tutakapoufikia mto!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hali ya Joyce Mkuya itakuwa mbaya mno kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za CCM
tapatalk_1573933671793.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom