1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Demokrasia gani ya kudumu madarakani na kuweka watu wa kumpitisha kwa rushwa kwenye kila uchaguzi?mutaenda mahakamani wewe na nani?????? pls hii sio ccm ambapo weyeketi wenu jiwe alipita kwa 100%, hii ni democracy, hatuna huo ushamba wa yiyi wanaccm, tena kaa wewe umemuchoka mhe mbowe, sisi wengine bado yeye ni shujaa kwetu, so peleka hizo story zako kwa pole pole
Miaka 15 amekiangusha Chama kwa kung'ang'ania tuu madaraka huku viongozi wenzake akiwaita wasaliti ili wale wenye uthubutu wa kumkosoa wahame abaki peke take na watu waoga na walamba viatu.
Sent using Jamii Forums mobile app