Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

mutaenda mahakamani wewe na nani?????? pls hii sio ccm ambapo weyeketi wenu jiwe alipita kwa 100%, hii ni democracy, hatuna huo ushamba wa yiyi wanaccm, tena kaa wewe umemuchoka mhe mbowe, sisi wengine bado yeye ni shujaa kwetu, so peleka hizo story zako kwa pole pole
Demokrasia gani ya kudumu madarakani na kuweka watu wa kumpitisha kwa rushwa kwenye kila uchaguzi?

Miaka 15 amekiangusha Chama kwa kung'ang'ania tuu madaraka huku viongozi wenzake akiwaita wasaliti ili wale wenye uthubutu wa kumkosoa wahame abaki peke take na watu waoga na walamba viatu.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawapongeza sana chadema, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.hayo mambo huwezi yaona ccm.wao hakuna uchaguzi Wa mwenyekiti taifa.
 
1000 digits,
Mkuu kama MTU anachaguliwa kwa kura sio tatizo.ccm huwezi ona hayo, Leo membe. anaandamwa kwa kutaka kumpinga magu ndani ya chama.
 
Cecil Mwambe ametimiza haki yake ya kidemokrasia ila atakayempigia kura eti awe mwenyekiti wa Chadema atakuwa mwehu kwelikweli! Yani wewe ni mwanamchama kweli wa Chadema then unatoka kwako kwenda kumchagua Cecil Mwambe mtu aliyehamia 2015 akitokea CCM awe mwenyekiti! Emb tuache mzaha bwana!
Chadema kitakuwa chama cha kipumbavu kama hakijajifunza aliyofanya Lowasa.

mbowe baba kila.la.kheri.
 
Huyo bwana sijui Mwambe ni ccm mole in Chadema and that's evident. The world will never allow the mercenary to command the battle hardened army.

Huyo Mwambe ana mwaka moja tu Chadema baada ya hapo anarejea ccm. Huyu ccm wanamtafutia uwenyekiti hapo ili akigeuze chama kiwe another TLP, UDP, CUF etc. Hafai hata bure.
 
Chama kimetia aibu kwa kushindwa kuandaa viongozi wake mpaka kinahalalisha Usanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kiziwi na ni kipofu; huoni au husikii chochote kinachotokea katika mazingira yaliyopo.
Unachojua ni kitu kimoja tu, kuimba wimbo wa santuri iliyoharibika...inarudiarudia hapo hapo ilipogotea!

Halafu, unakuja hapa ujionyeshe ni kiasi gani ulivyo na ufahamu wa uendeshaji wa vyama na kuandaa viongozi bila kuangalia mazingira yanayovinyima vyama hivyo nafasi za kufanya hayo unayoyaimba kama kasuku!

Sasa wewe tuambie hapa, ni kipi kinachokufanya uone kwamba Cecil Mwambe hakuandaliwa na kuwa na haki ya kuchaguliwa kama wapiga kura wataona anafaa, au kutochaguliwa kama wanaamua hafai. Bado huridhiki kwa hatua hii inayofanyika CHADEMA, wewe ni nani uendelee kuhoji!

Bure kabisa.
 
Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Mwambe ni ccm mwenzenu nikweli asiposhinda nendeni mahakamani maaana haiwezekani mmetumia pesa nyingi kumnunua alafu mambo yasiende inavyotakiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bwana sijui Mwambe ni ccm mole in Chadema and that's evident. The world will never allow the mercenary to command the battle hardened army.

Huyo Mwambe ana mwaka moja tu Chadema baada ya hapo anarejea ccm. Huyu ccm wanamtafutia uwenyekiti hapo ili akigeuze chama kiwe another TLP, UDP, CUF etc. Hafai hata bure.
Huu Ni uzushi mbona alipewa ujumbe Wa kamati kuu?
 
Back
Top Bottom