Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili

Atakae shinda atakuwa kashinda kwa sababu kachaguliwa kwa kura halali za wapiga kura halali...mengine kama hili lako la ubatili yatabaki kuwa ni mawazo na wishful thinking expressed kwa keyboard typing..
 
Ni kweli kiongozi.Umeeleza vema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…