Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024

Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi.

Taarifa yao kwa Umma hii hapa

Screenshot_2024-08-06-15-45-16-1.png

======
Screenshot_2024-08-08-14-13-22-1.png
 
2025-2030 atokee Kanda ya ziwa. Jadilini hilo,mtakuja kunikumbuka.
 
1722950457767.png

Tunasubiri kwa hamu tamko la Kamati Kuu CHADEMA, muda unayoyoma kuelekea 2024 / 2025 huku chama dola kongwe hakitaki maridhiano yaliyopendekeza mambo mengi ya msingi ambayo serikali ya CCM na Bunge lake la chama kimoja wanajifanya viziwi kuhusu katiba mpya, usimamizi wa chaguzi za 2024 / 2025 usihodhiwe na chama dola kongwe, maisha magumu, utekaji wa raia, CCM kuanza kampeni kabla ya wakati, Tume Huru ya Uchaguzi kukosa watendaji huru,.. mambo ni mengi CCM haitaki kukubali mabadiliko mpaka tuingie barabarani kuwafukuzwa kutoka madarakani tuanze upya bila mfumo wa chama kimoja ambao hadi sasa umewafanya raia, taasisi za serikali na vyombo vya dola kuwa mateka.
 
Tulieni kidogo
 
Attachments

  • IMG-20240806-WA0047.jpg
    IMG-20240806-WA0047.jpg
    49.3 KB · Views: 4
Tunasubiri kwa hamu tamko la Kamati Kuu CHADEMA, muda unayoyoma kuelekea 2024 / 2025 huku chama dola kongwe hakitaki maridhiano yaliyopendekeza mambo mengi ya msingi ambayo serikali ya CCM na Bunge lake la chama kimoja wanajifanya viziwi kuhusu katiba mpya, usimamizi wa chaguzi za 2024 / 2025 usihodhiwe na chama dola kongwe, maisha magumu, utekaji wa raia, CCM kuanza kampeni kabla ya wakati, Tume Huru ya Uchaguzi kukosa watendaji huru,.. mambo ni mengi CCM haitaki kukubali mabadiliko mpaka tuingie barabarani kuwafukuzwa kutoka madarakani tuanze upya bila mfumo wa chama kimoja ambao hadi sasa umewafanya raia, taasisi za serikali na vyombo vya dola kuwa mateka.
Usiondoke JF mkuu, nimepata tetesi za kikao hiki, ni balaa
 
Tamko zito la karne kutoka Kamati Kuu ya CHADEMA kuhusu mustakabali wa taifa letu kuanzia sasa kwenda mbele 2024 / 2025 kuitikisa vibaya chama dola kongwe CCM ...
 
CHADEMA mnabidi nije siku niwapige darasa la Siasa mna ajenda lakini hamjui kuzifikisha kwa uzuri na hilo ndilo linalowaangusha sana. Mje na Ajenda zenye mashiko.
 
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024

Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi.

Taarifa yao kwa Umma hii hapa

Hili genge la wahuni tu hakuna la maana

USSR
 
Back
Top Bottom