Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam

Sumaye yule Mr. Zero, sumu haionjwi maana yake kumpa Uenyekiti wa Chama mtu aliyetoka CCM ingekuwa ni sawa na kuonja sumu na ukweli ulijidhihisha baada ya Sumaye kurudi CCM hiyo ingekuwa ni political suicide.
Every opposition political leader has " a price tag". It is a matter of time for each and one of them to come to CCM.
 
Siyo kweli kuwa wote wako hivyo, na kwa nini wapoteze hela za walipa kodi waamue kuvifuta vyama vyote ibaki CCM. Na wewe unafaidika nini wapinzani wote wakinunuliwa na CCM? Ndiyo maana nasema CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu. Umeiandika kwa kingereza kabisa kana kwamba unapekeza jambo la maana kumbe ni ujuha.
 
Umeniuliza swali la kipumbavu kweli! Eti wakihamia CCM nafaidika na nini!? Kwani wakibaki huko wewe unanufaikaje hadi utoe povu kiasi hicho?
 
Kama hujui faida ya kuwa na vyama vingi vya siasa basi wewe ni mpumbavu kabisa. Yaani una furahia serikali itumie mabilioni ya fedha za walipa kodi kununua wapinzani na unaona hiyo ni akili?
 
Hujataja wewe umenifaika vipi na vyama vingi halafu unanilazimisha mimi niuone ni mzuri? Una akili timamu kweli!?
 
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024

Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi.

Taarifa yao kwa Umma hii hapa

Hiki chama kina baadhi ya viongozi ambao wapo tayari kufanya maamuzi ya kusaliti mitazamo yao wakati wowote pesa nzuri ikiwekwa mbele yao.

Mwaka 2015 waliamua kukodisha chama kwa Bwana Mamvi.
 
Screenshot_2024-08-08-14-14-35-1.png
Screenshot_2024-08-08-14-14-31-1.png
Screenshot_2024-08-08-14-13-22-1.png
 
Back
Top Bottom