Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Lisu ampishe haraka saaana.Huyo mbona tuko naye miaka yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu ampishe haraka saaana.Huyo mbona tuko naye miaka yote
Huyu si ameifunga account yake baada ya kutumbuliwaTulieni kidogo
Msigwa hana hoja ana udakuTatizo hoja za msigwa hazijibiwi
Hujui lolote na hata kusoma hujuiKikao kitapewa taarifa nia ya kuwasamehe akina Mdee?
Umeona nyomi la Samia jamhuri?Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024
Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi.
Taarifa yao kwa Umma hii hapa
Hata ungekuwa wewe ungejaza unaambiwa shule zote zimefungwa, wagonjwa wameruhusiwa mahospitalini, masoko yamefungwaUmeona nyomi la Samia jamhuri?
Mtatafuta Sana visingizioHata ungekuwa wewe ungejaza unaambiwa shule zote zimefungwa, wagonjwa wameruhusiwa mahospitalini, masoko yamefungwa
Mpina na Nape hawatajitumbukiza hadi labda watemwe na CCM.Chadema twende na nape na mpina watatushaa. Niushauri wanguu tuuu
Ila cha Uwenyekiti ni Cha Mbowe tu! Ahahahahaha!!!Vyeo vya Chadema ni vya wanachama, si vya mtu
Nani kasema hayo?Ila cha Uwenyekiti ni Cha Mbowe tu! Ahahahahaha!!!
"Nilipotaka kuchukua fomu ya kugombea Uwenyekiti. Freeman Mbowe akaniambia, Sumu haionjwi! Mzee SumayeNani kasema hayo?
Yule Mwambe aliyegombea alifanywa nini? Unasikiliza Sumaye, leo yuko wapi?"Nilipotaka kuchukua fomu ya kugombea Uwenyekiti. Freeman Mbowe akaniambia, Sumu haionjwi! Mzee Sumaye
Mmepumbazwa na mpira wenu mbovu siyo?Tarehe 8 tutakuwa bize na Derby ya Kariakoo.
Wakumbuke Wenje atagombea cheo cha mzee lisu
Sumaye yule Mr. Zero, sumu haionjwi maana yake kumpa Uenyekiti wa Chama mtu aliyetoka CCM ingekuwa ni sawa na kuonja sumu na ukweli ulijidhihisha baada ya Sumaye kurudi CCM hiyo ingekuwa ni political suicide."Nilipotaka kuchukua fomu ya kugombea Uwenyekiti. Freeman Mbowe akaniambia, Sumu haionjwi! Mzee Sumaye