Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam

Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam

Fungua Macho
Naam nimefungua macho na kuona iwapo leo hii unataka kuniaminisha kwamba nyie ndio mnaotoa Dira na Miongozo inayofuatwa na wananchi mnashindwa nini kesho mkichukua nchi mkaniambia hizo Tozo mnazonitoza sio Tozo bali ni Sadaka....

Uongo ni tabia na mwisho wa siku small lies become bigger lies..., As Jon Snow once Said....

Jon Snow : When enough people make false promises, words stop meaning anything. Then there are no more answers, only better and better lies. Jon Snow
 
Kwa bahati nzuri sana imetokea kwamba ninamwelewa vizuri sana Tundu Lissu sasa hivi kuliko nilivyo wahi kumwelewa mtu mwingine nyakati hizi za karibuni katika maswala ya kisiasa.

Sina shaka yoyote juu ya Tundu Lissu kwa sasa; shaka yangu kubwa ni kwa hicho chama chako na kundi linalo kiswaga kuelekea ndani ya CCM.
Mkuu 'Erythro', ukisema '...ajenda zetu...", ni kama huwa hujui nina ajenda gani mimi tokea tukutane. Ajenda yangu siku zote ni moja tu;.... Heshima ya Tanzania na wananchi wake, basi. Sina ajenda nyingine yoyote.
Basi vuta subra, Kwa idhini ya Katibu Mkuu nitaleta mrejesho wa Kamati kuu
 
Naam nimefungua macho na kuona iwapo leo hii unataka kuniaminisha kwamba nyie ndio mnaotoa Dira na Miongozo inayofuatwa na wananchi mnashindwa nini kesho mkichukua nchi mkaniambia hizo Tozo mnazonitoza sio Tozo bali ni Sadaka....

Uongo ni tabia na mwisho wa siku small lies become bigger lies..., As Jon Snow once Said....

Jon Snow : When enough people make false promises, words stop meaning anything. Then there are no more answers, only better and better lies. Jon Snow
Miongozo tunayoileta haihusu ukandamizaji wa Raia, hiyo ni miongozo ya shetani
 
Basi vuta subra, Kwa idhini ya Katibu Mkuu nitaleta mrejesho wa Kamati kuu
Mwambie Katibu Mkuu, ambaye pia ninampa heshima kubwa; kwamba hakuna kitu cha thamani kuliko "muda". Hii ni 2024 August, na bado ndiyo kunaletwa ajenda ya 'uchaguzi'' kwenye kikao?

Kuna kitu gani huko ndani ya chama anaye fanya hujuma hii ndani ya chama hiki ni nani?
 
Ninachojua Erythrocyte HAWEZI kutupa mrejesho wa Kamati Kuu ya Chadema kwasababu wamewasamehe akina Halima Mdee!
Na wala si hilo tu la "kusamehe", ambalo kwa kweli ni jambo dogo sana kwa sasa. Ajenda muhimu, ambayo kwa maksudi kabisa imemwagiwa maji kimkakati ni chaguzi zinazofuata hivi karibuni na hapo mwakani.
CHADEMA kwa sababu wanazozifahamu wenyewe wame amua kuwapa nafasi CCM waendelee kutamba watakavyo kwenye hizi chaguzi.
Kuna jambo lisilo kuwa la kwaida hapa.
 
Back
Top Bottom