Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam

I am sorry, hapa hamna kitu. Ni kusubiri maafa ndiyo wapate ajenda. Titasikia Nape, kulawitiwa, kutekwa, VX, Loliondo na Bandari. Hamna kitu.
 
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024

Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi.

Taarifa yao kwa Umma hii hapa

======
View attachment 3064582
Sasa mh lissu akayaseme aliyasema club house ndani ya vikao
Kama atakosa majibu basi

anawezajizuru akabaki mwachama wa kawaida

Ajabu Nini Mbona kinana amejiuzulu na amebaki mwachama wa kawaida
 
Nimekuwa nikisita kufungua uzi huu tokea uingie hapa jukwaani kwa sababu maalum. Sasa kikao cha hao wajumbe kinaelekea ukingoni, nikaona nichungulie yanayo endelea kwenye mada yenyewe.
Nimesoma yaliyo wasilisha kama ajenda za kikao hicho.

Nikitazama hali inavyo kwenda kuelekea kwenye chaguzi, na kuunganisha na hali ilivyo ndani ya chama hiki, inanilazimu nihitimishe kwamba waTanzania wasiweke matumaini kwenye hiki chama kinachomilikiwa na mtu binafsi.

Hiki sasa ni kikundi cha uchumi tu ambacho baadae kitaungana na wenzao ndani ya CCM kuwakamua waTanzania kikwelikweli.
 
Kama tu unashindwa kuwa mkweli wa vitu vya kawaida na vidogo tunavyovifahamu na kuvielewa itakuwaje kwenye mambo makubwa ambayo hatuyaelewi na kuyafahamu ?

Hizi za kuita nyeusi ni nyekundu ndio kumepelekea watu kuona kwamba wanasiasa na wafuasi wao wote ni waongo na matapeli...
 
Ushahidi wa Tuhuma zako ni upi?
 
Sasa mh lissu akayaseme aliyasema club house ndani ya vikao
Kama atakosa majibu basi
Nami natamani ingekuwa hivyo, ili ijulikane wazi nani na nani wapo wapi ndani ya hiki chama.
 
Kama tu unashindwa kuwa mkweli wa vitu vya kawaida na vidogo tunavyovifahamu na kuvielewa itakuwaje kwenye mambo makubwa ambayo hatuyaelewi na kuyafahamu ?

Hizi za kuita nyeusi ni nyekundu ndio kumepelekea watu kuona kwamba wanasiasa na wafuasi wao wote ni waongo na matapeli...
Fungua Macho
 
Ushahidi wa Tuhuma zako ni upi?
Mkuu 'Erythro', nimeepuka sana kufuatilia unayoweka humu, kwa kujua kwamba hata wewe huna utulivu sana ndani yako kuhusu chama chako hiki wakati huu.

Ushahidi?
Upo mwingi sana.
 
Kikao cha Kamati kuu kimeweka Wazi ajenda zake, ni kikao cha siku 2 na kinaisha leo, kwanini mnataka mrejesho wakati kikao hakijaisha? na kwanini mnataka kuchomeka ajenda zenu ndani ya kikao hiki?

Lissu wala hana hizo ajenda mnazotaka awe nazo, alichokuwa anafanya ni kujibu alichokuwa anaulizwa na Wanahabari baaaasiii! na hivi sasa yuko ndani ya kikao na ndio anayesoma Ajenda za kikao chao
 
Kwa bahati nzuri sana imetokea kwamba ninamwelewa vizuri sana Tundu Lissu sasa hivi kuliko nilivyo wahi kumwelewa mtu mwingine nyakati hizi za karibuni katika maswala ya kisiasa.

Sina shaka yoyote juu ya Tundu Lissu kwa sasa; shaka yangu kubwa ni kwa hicho chama chako na kundi linalo kiswaga kuelekea ndani ya CCM.
Mkuu 'Erythro', ukisema '...ajenda zetu...", ni kama huwa hujui nina ajenda gani mimi tokea tukutane. Ajenda yangu siku zote ni moja tu;.... Heshima ya Tanzania na wananchi wake, basi. Sina ajenda nyingine yoyote.
 
Back
Top Bottom