Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
HakikaSumaye yule Mr. Zero, sumu haionjwi maana yake kumpa Uenyekiti wa Chama mtu aliyetoka CCM ingekuwa ni sawa na kuonja sumu na ukweli ulijidhihisha baada ya Sumaye kurudi CCM hiyo ingekuwa ni political suicide.
Every opposition political leader has " a price tag". It is a matter of time for each and one of them to come to CCM.Sumaye yule Mr. Zero, sumu haionjwi maana yake kumpa Uenyekiti wa Chama mtu aliyetoka CCM ingekuwa ni sawa na kuonja sumu na ukweli ulijidhihisha baada ya Sumaye kurudi CCM hiyo ingekuwa ni political suicide.
Nani kachukua fomu ya kugombea uenyekiti huko CDMKumbuka CDM hawana utaratibu wa kutoa fomu moja kama wale chama rafiki[emoji1][emoji1][emoji1]
Siyo kweli kuwa wote wako hivyo, na kwa nini wapoteze hela za walipa kodi waamue kuvifuta vyama vyote ibaki CCM. Na wewe unafaidika nini wapinzani wote wakinunuliwa na CCM? Ndiyo maana nasema CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu. Umeiandika kwa kingereza kabisa kana kwamba unapekeza jambo la maana kumbe ni ujuha.Every opposition political leader has " a price tag". It is a matter of time for each and one of them to come to CCM.
Umeniuliza swali la kipumbavu kweli! Eti wakihamia CCM nafaidika na nini!? Kwani wakibaki huko wewe unanufaikaje hadi utoe povu kiasi hicho?Siyo kweli kuwa wote wako hivyo, na kwa nini wapoteze hela za walipa kodi waamue kuvifuta vyama vyote ibaki CCM. Na wewe unafaidika nini wapinzani wote wakinunuliwa na CCM? Ndiyo maana nasema CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu. Umeiandika kwa kingereza kabisa kana kwamba unapekeza jambo la maana kumbe ni ujuha.
Nani kakudanganya wewe kapuku, na kizungu chako cha ugoko hicho!Every opposition political leader has " a price tag". It is a matter of time for each and one of them to come to CCM.
Kama hujui faida ya kuwa na vyama vingi vya siasa basi wewe ni mpumbavu kabisa. Yaani una furahia serikali itumie mabilioni ya fedha za walipa kodi kununua wapinzani na unaona hiyo ni akili?Umeniuliza swali la kipumbavu kweli! Eti wakihamia CCM nafaidika na nini!? Kwani wakibaki huko wewe unanufaikaje hadi utoe povu kiasi hicho?
Ungelijibu kwa kizungu kizuri tofauti na changu ningelikuheshimu. Badala yake umenionesha ulivyo mpumbavu!!Nani kakudanganya wewe kapuku, na kizungu chako cha ugoko hicho!
Hujataja wewe umenifaika vipi na vyama vingi halafu unanilazimisha mimi niuone ni mzuri? Una akili timamu kweli!?Kama hujui faida ya kuwa na vyama vingi vya siasa basi wewe ni mpumbavu kabisa. Yaani una furahia serikali itumie mabilioni ya fedha za walipa kodi kununua wapinzani na unaona hiyo ni akili?
Wewe huna akili kabisaHujataja wewe umenifaika vipi na vyama vingi halafu unanilazimisha mimi niuone ni mzuri? Una akili timamu kweli!?
Ahahahahaha!!!Wewe huna akili kabisa
Hiki chama kina baadhi ya viongozi ambao wapo tayari kufanya maamuzi ya kusaliti mitazamo yao wakati wowote pesa nzuri ikiwekwa mbele yao.Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024
Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi.
Taarifa yao kwa Umma hii hapa
Kuna mijitu inataka kuokota dodo chini ya mnazi.Usiondoke JF
Yaani Lissu lazima afukuzwe, hatukubali mambo yakeKamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024
Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi.
Taarifa yao kwa Umma hii hapa
======
View attachment 3064582
Una macho?Simuoni LISU yukowapi
Haipo kwenye ajendaYaani Lissu lazima afukuzwe, hatukubali mambo yake
nimemwona kamanda , na mungu amrehemu maisha marefu dunianiUna macho?