Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam

Fungua Macho
Naam nimefungua macho na kuona iwapo leo hii unataka kuniaminisha kwamba nyie ndio mnaotoa Dira na Miongozo inayofuatwa na wananchi mnashindwa nini kesho mkichukua nchi mkaniambia hizo Tozo mnazonitoza sio Tozo bali ni Sadaka....

Uongo ni tabia na mwisho wa siku small lies become bigger lies..., As Jon Snow once Said....

Jon Snow : When enough people make false promises, words stop meaning anything. Then there are no more answers, only better and better lies. Jon Snow
 
Basi vuta subra, Kwa idhini ya Katibu Mkuu nitaleta mrejesho wa Kamati kuu
 
Miongozo tunayoileta haihusu ukandamizaji wa Raia, hiyo ni miongozo ya shetani
 
Basi vuta subra, Kwa idhini ya Katibu Mkuu nitaleta mrejesho wa Kamati kuu
Mwambie Katibu Mkuu, ambaye pia ninampa heshima kubwa; kwamba hakuna kitu cha thamani kuliko "muda". Hii ni 2024 August, na bado ndiyo kunaletwa ajenda ya 'uchaguzi'' kwenye kikao?

Kuna kitu gani huko ndani ya chama anaye fanya hujuma hii ndani ya chama hiki ni nani?
 
Ninachojua Erythrocyte HAWEZI kutupa mrejesho wa Kamati Kuu ya Chadema kwasababu wamewasamehe akina Halima Mdee!
Na wala si hilo tu la "kusamehe", ambalo kwa kweli ni jambo dogo sana kwa sasa. Ajenda muhimu, ambayo kwa maksudi kabisa imemwagiwa maji kimkakati ni chaguzi zinazofuata hivi karibuni na hapo mwakani.
CHADEMA kwa sababu wanazozifahamu wenyewe wame amua kuwapa nafasi CCM waendelee kutamba watakavyo kwenye hizi chaguzi.
Kuna jambo lisilo kuwa la kwaida hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…