Hao wanawake wawafukuze tu wakitaka waunge mkono juhudi kuteua Viti maalumu ni kula matapishi yenuWakakae kimya tu..wasiongee kitu.
Acha mambo ya kususa ww
Ela ya kuendesha chama utatoa ww?
Keleleele nyingiiiiii mbona hatujakuona barabarani?
Chama kinataka ela ili kujiendesha, Sasa kama hakuna wabunge wa viti maalum do u think Wanapata wapi ela?
Kutosahaulika kuna faida gani kama kinatengenezewa mazingira ya kamwe hakiwezi kupewa dola hata kama kikishinda?Kususa ni bad idea na wakisusa watasahaulika kabisa kwa nature ya jpm yeye hajali na wataeneza propaganda kuwa hawataki maendeleo ukichangia na vichwa vya watanzania vilivo vichwa panzi
Huo ni Udikteta.WANAWAKE CHADEMA WAKOMALIA VITI MAALUM UBUNGE: WASEMA WAKO TAYARI KUVULIWA UANACHAMA WAKIWA BUNGENI
- Ni katika kikao kinachoendelea muda huu bahari beach Hotel
- Wanaume wawataka wanawake wa Viti Maalum kukataa Ubunge huo..
Kususa sio solution nzuri hata kidogo mbona enzi za dr slaa walikuwa few na impact's yake ilionekana, ccm si yakususiwa hapo wakija na propaganda mfu na akili hizi za watanzania wapinzani kuja kuaminiwa itachukua mda mrefu. Waache ujinga wa kususa waende bungeni waje na new strategy.Kutosahaulika kuna faida gani kama kinatengenezewa mazingira ya kamwe hakiwezi kupewa dola hata kama kikishinda?
Kweli mkuu:Chadema, kujiimarisha na kujiporomosha vyote viko mikononi mwenu.
chadema na upinzani kwa ujumla najua mtatupiwa mifupa mingi sana kama ndoana ya kuwatuliza ili mambo yatulie na ili tuendelee kutawaliwa kikatili na kidikteta. yan nasubiri siku nikiona mmeanza kukubabali kudaka mifupo hiyo migumu isiyo na nyama siku hiyo hiyo nachanachana kadi ya chadema na nachukua likadi la kijani japo sijawahigi kushika likadi hilo tangu nizaliwe hadi sasa nina miaka hamsini keshi.Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja...
Kususa sio solution nzuri hata kidogo mbona enzi za dr slaa walikuwa few na impact's yake ilionekana, ccm si yakususiwa hapo wakija na propaganda mfu na akili hizi za watanzania wapinzani kuja kuaminiwa itachukua mda mrefu. Waache ujinga wa kususa waende bungeni waje na new strategy.
Watafuatwa mmoja mmoja inbox nakurushiwa mabulungutu watuliechadema na upinzani kwa ujumla najua mtatupiwa mifupa mingi sana kama ndoana ya kuwatuliza ili mambo yatulie na ili tuendelee kutawaliwa kikatili na kidikteta. yan nasubiri siku nikiona mmeanza kukubabali kudaka mifupo hiyo migumu isiyo na nyama siku hiyo hiyo nachanachana kadi ya chadema na nachukua likadi la kijani japo sijawahigi kushika likadi hilo tangu nizaliwe hadi sasa nina miaka hamsini keshi..
Kwani kina Mbowe waliopenda bungeni walishinda kwa NEC hii hii ya ccm au kwa NEC ya kwa trump?Enzi za Dr Slaa, Wapinzani walikuwa wanatafuta ridhaa ya umma, na akina Slaa waliingia bungeni kihalali.
Sasa safari hii wapinzani wameshapata ridhaa ya umma ila wanatendewa uharamia kupitia vyombo na nyenzo za dola. Sasa katika hali hiyo waende bungeni ili kutaka ridhaa ya nani?
Unawadanganya viongozi wako na unawaingiza chaka kabisa.Mwaka huu kulikuwa na wagombea urais 13 ccm inao uwezo wa kupata wabunge wa upinzani bila hata chadema na ACT kuwemo.Zanzibar Seif alususa lakini serikali haikusimama na ilikubalika kimataifa.chadema na upinzani kwa ujumla najua mtatupiwa mifupa mingi sana kama ndoana ya kuwatuliza ili mambo yatulie na ili tuendelee kutawaliwa kikatili na kidikteta. yan nasubiri siku nikiona mmeanza kukubabali kudaka mifupo hiyo migumu isiyo na nyama siku hiyo hiyo nachanachana kadi ya chadema na nachukua likadi la kijani japo sijawahigi kushika likadi hilo tangu nizaliwe hadi sasa nina miaka hamsini keshi...
Wakisusa kwa namna hiyo CHADEMA watapata faida gani hatimaye?Hapo naunga mkono hoja mkuu, kama hakuna tume huru waache wafanye uchaguzi wao wenyewe, sasa waamue wateuane au wafanye uchaguzi peke yao.
Hii NEC ya safari hii imekosa hata chembe ya aibu, ilichokifanya ni ubakaji kabisa wa chaguo la wananchi katika ngazi zoteKwani kina Mbowe waliopenda bungeni walishinda kwa NEC hii hii ya ccm au kwa NEC ya kwa trump? Kwanini sasa hivi wao waliposhindwa ndio wazuie wengi kwenda bungeni wakati Toka enzi hzo uharamia wa kura ulikuwepo...
Chama siyo Saccos. Kujali ruzuku badala ya kutetea principles ni kugeuka kuwa chama "ruzuku". Chama cha namna hiyo bora kife kije kingine kinachopigania chaguzi za wananchi ziheshimiwe na tupate mifumo ya kuwezesha hilo. Unfortunately hilo haliwezi kuwezekana kupitia bunge hili la CCM.Kwa wale wanaosema wasiingie bungeni wangetoa ushauri wa nini wafanye wakiwa nje ya bunge. Waeleze chama kitajiendesha vipi wakiwa nje ya bunge. Waeleze chama kitawapiganiaje waliotiwa ndani kwa kukitetea chama...
Sasa kama Chama kinadhulumiwa chaguzi, hizo hela za kuendeshea hicho chama zina faida gani? - Yaani kiwepowepo tu bila uhakika wa kushika dola hata kama kikishinda?
Uingize watu bungeni kuhalalisha haramu?Sasa solution ndio kususa?
Inatakiwa kupambana, kuingiza watu bungen at least watu wajue tofauti ya wao na wale