Jambo la kwanza litakalofanyika,Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja...
Tuangalie na upande mwingine wa kiuchumi! Hivi wakiingia bungeni wakawa wanavuna mpunga tu kuna ubaya gani? Mimi nashauri tupotezee wabunge waingie bungeni wakae kimya kabisa wasiseme lolote! Maana hizi ruzuku zitatusaidia pia kuimarusha chama!Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja...
Majina hupelekwa NEC katika hatua ya uteuzi wa wagombeaTume ya Taifa ya Uchaguzi imekitaarifu CHADEMA kupeleka majina 22 ya viti maalumu.
Inasemekana uongozi mkuu wa CHADEMA umeketi leo kujadili kuhusu hili swala. Kikubwa ni wapeleke majina au wasusie...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekitaarifu CHADEMA kupeleka majina 22 ya viti maalumu.
Inasemekana uongozi mkuu wa CHADEMA umeketi leo kujadili kuhusu hili swala. Kikubwa ni wapeleke majina au wasusie...
Shida ndiyo hiyo. Kwa sababu uliwapigia kura basi mtu mwingine yeyote ambae aliwapigia kura lakini ana mawazo tofauti na wewe amekuwa influencer aliyetumwa na CCM n.k.Yaani wafanyiwe kila aina ya uharamia halafu waingie bungeni kwa njia ya asante NEC?.
Huu siyo muda wa kugawana nafasi za kula, kuingia bungeni ni kulegitimise mchakato haramu...
Walioshinda ubunge kama yule dada wa Nkasi aende bungeni (japo namtilia shaka nyendo zake), viti maalum nao waende bungeni, na wale wanaoona wameonewa kwenye majimbo yao hawakushindwa kihalali waende mahakamani...
Gamba kazini.Mwambie mwenyekiti wako Freeman za kuambiwa achanganye na zake; maana Tundu hayupo kwa maslahi ya chama wala nchi ila yupo kimaslahi binafsi. Kwa maana hiyo mwenyekiti afanye maamuzi sahihi kwa maslahi ya nchi na chama chake...
Noted.Shida ndiyo hiyo. Kwa sababu uliwapigia kura basi mtu mwingine yeyote ambae aliwapigia kura lakini ana mawazo tofauti na wewe amekuwa influencer aliyetumwa na CCM n.k..
Zanzibar kimeeleweka kitu gani?Bila fisi kumsusia butcher hakiwezi kueleweka.
Mbona Zanzibar kimeeleweka?
CDM wajichunge sana na mawazo uchwara haya ya kigamba gamba.
Sisi ndo wananchi ambao ni mitaji ya wanasiasa huu ndio msimamo wetu wakikubali kupeleka wabunge wa viti maalum bungeni itawaghalimu zaidiShida ndiyo hiyo. Kwa sababu uliwapigia kura basi mtu mwingine yeyote ambae aliwapigia kura lakini ana mawazo tofauti na wewe amekuwa influencer aliyetumwa na CCM n.k...
Itawagharimu nini? Kama kweli kura zenu ziliporwa mbona hamuonekani kuzidai? Uchaguzi huu umedhihirisha kabisa kura zenu hazina thamani na nyinyi si lolote si chochote.Sisi ndo wananchi ambao ni mitaji ya wanasiasa huu ndio msimamo wetu wakikubali kupeleka wabunge wa viti maalum bungeni itawaghalimu zaidi
Kama ni viti mahalum wahame tu, mtoa mada katoa hoja nzito na fikilishi wananchi hasa wafuasi wa chadema hawategemei eti chadema kutoa viti mahalum,Kuna mnyukano huko wa hatari kina Matiko, Mdee, Bulaya, Magelesi and the likes wameunda women wing kushinikiza kamati kuu kuwaruhusu wateuliwe na kushiriki bingeni kama viti maalum, vinginevo wakiwahama wasilalamike.
Kama huo ubalozi wako unataka kutoa pesa kwa ajili ya kukuza demokrasia Tanzania, hiyo pesa itasaidia nini kuwafidia waliodhulumiwa haki zao kwenye uchaguzi uliopita?Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekitaarifu CHADEMA kupeleka majina 22 ya viti maalumu.
Inasemekana uongozi mkuu wa CHADEMA umeketi leo kujadili kuhusu hili swala. Kikubwa ni wapeleke majina au wasusie...
Shida ndiyo hiyo. Kwa sababu uliwapigia kura basi mtu mwingine yeyote ambae aliwapigia kura lakini ana mawazo tofauti na wewe amekuwa influencer aliyetumwa na CCM n.k...
Wewe sema waende wakawakilishe wananchi kuwaletea maendeleo swala la katiba mpya sahau swala la katiba mpya.Nafasi ya katiba mpya mlipewa na kikwete bado mkasusa, ccm hawako tayari. Mkiingia labda mbebe hoja ya maji salama kwa kila mtanzania, hata watanzania watawaona mko serious.Hii agenda yenu ya kutaka ccm ichafuke haitawapeleka mahali.Walioshinda ubunge kama yule dada wa Nkasi aende bungeni (japo namtilia shaka nyendo zake), viti maalum nao waende bungeni, na wale wanaoona wameonewa kwenye majimbo yao hawakushindwa kihalali waende mahakamani...
Soma comment hizo za raia watu wanamachungu wamechukizwa na hoja hiyoItawagharimu nini? Kama kweli kura zenu ziliporwa mbona hamuonekani kuzidai? Uchaguzi huu umedhihirisha kabisa kura zenu hazina thamani na nyinyi si lolote si chochote.
Amandla...
Soma comment hizo za raia watu wanamachungu wamechukizwa na hoja hiyo