Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

Waende bungeni kwa uchaguzi haramu? CUF walisusa na ikavurugwa, lkn wafuasi halisi wa CUF wakahamia ACT na bado wamepaa zaidi kisiasa.

Binafsi naona ni vema kuwa na msiamamo kwamba uchaguzi huu ulikuwa ni uchafuzi kwahiyo hautambuliki na waliotokana na uchaguzi huu hawatambuliki.
Yes, uchaguzi huu ulikuwa uchafuzi, uta guarantee vipi next time patakuwa na uchaguzi halali?

Madhara ya yaliyotokea mojawapo naamini next time wengi hawatakwenda kupiga kura, wameshaona uchaguzi Tanzania ni maigizo, na hii ndio maana halisi ya Chadema kupoteza wafuasi, sio kwa kuhamia chama kingine kama unavyodhani.

Na ukisusa maana yake umaanishe kweli, sio unasusia kimoja halafu unashiriki kingine, ukisusa kwenda bungeni then susia na uchaguzi mkuu ujao kwasababu mazingira yaliyowafelisha bado yatakuwepo, kinyume na hapo hawataeleweka kwa wanaojielewa.

Walishasusa kina Seif Zanzibar walipata nini? mbona wamerudi wenyewe ulingoni!. CCM hawasusiwi, ni kwenda nao sawa regardless of the situation, viongozi wamejitahidi kufanya kila walichoweza wameishia kukamatwa na polisi, mimi na wewe tulifanya nini kuwasaidia? kwangu kususa ni utoto tu.
 
Yaani wewe unawashauri CHADEMA wakubali kuonewa miaka yote. Bora kufutika na kufanya biashara kuliko kuonewa miaka yote na kukubali hali hiyo. Chama cha siasa lengo lake ni kushika dola siku moja. Siyo kuwepo kuwepo tu. Hapo sasa inakuwa NGO.
Ndio hivyo, mojawapo ya madhara ya kugoma ni kufutika, nimeandika juu kule; sasa waulize wenzio kama wapo tayari kwa hicho.

Kugoma kwa kudhani unawakomoa CCM ni kujidanganya tu, lazima wajifunze, ili kufikia mafanikio wanayoyataka lazima wapitie mitihani ya kila aina, na waishinde; sio kulala nyumbani unasubiri mabadiliko.
 
Wateue watu bhana kwa mujibu wa katibaa baada ya hapo chama kichukue ada ya kila malipo ya mbunge wa viti maalumu.

Wakimaliza kuteuliwa waje kijiweni tusaidizane kupangisha vyumba watu
 
CHADEMA sasa wakae nje ya Bunge kabisa. Wadai Tume huru kwa kupitia nchi wahisani kwa vile Watanzania hawako tayari kuandamana kwa sasa. Misaada ikatwe mpaka Tume huru itakapoundwa. Hatuwezi kabisa kujitegemea.

Kama hilo haliwezekani, waunde vikundi vya kigaidi (underground). Wawatungue wasimamizi wa uchaguzi, viongozi wa CCM, Msajili nk. Heshima itarudi.
Waende bungeni kwa uchaguzi haramu? CUF walisusa na ikavurugwa, lkn wafuasi halisi wa CUF wakahamia ACT na bado wamepaa zaidi kisiasa.

Binafsi naona ni vema kuwa na msiamamo kwamba uchaguzi huu ulikuwa ni uchafuzi kwahiyo hautambuliki na waliotokana na uchaguzi huu hawatambuliki.
 
Vyama ni ideology ambayo inakuwa mioyoni mwa watu. Mbona hawakufutika 2015-20 wakati mikutano ya kisiasa ilipokuwa imepigwa marufuku? Haiwezekani kufutika. ANC ya Mandela ilipigwa marufuku Afrika Kusini, je, ilifutika?
Ndio hivyo, mojawapo ya madhara ya kugoma ni kufutika, nimeandika juu kule; sasa waulize wenzio kama wapo tayari kwa hicho.

Kugoma kwa kudhani unawakomoa CCM ni kujidanganya tu, lazima wajifunze, ili kufikia mafanikio wanayoyataka lazima wapitie mitihani ya kila aina, na waishinde; sio kulala nyumbani unasubiri mabadiliko.
 
Huoni kama upinzani tukienda bungeni tutaleta marudhiano ili kudumisha amani yetu
 
pesa pesa.....Yuda Iskalioti alimuuza Yesu kwa vipande thelathini vya pesa...subiri muone! mleta mada mwenye kaandika kinjaa zaidi...between the line anataka "wote wakose, maana kwenye wachache hawezi kuwemo...amekata tamaa! "
 
Walishasusa kina Seif Zanzibar walipata nini? mbona wamerudi wenyewe ulingoni!. CCM hawasusiwi, ni kwenda nao sawa regardless of the situation, viongozi wamejitahidi kufanya kila walichoweza wameishia kukamatwa na polisi, mimi na wewe tulifanya nini
Mm naona unajichanganya tu kwenye maelezo yako. Hueleweki unapinga nini na unaunga mkono nini.

Kwa mazingira ya sasa chini ya katiba iliyopo inayozaa tume ya uchaguzi ni dhahiri shahiri upinzani hauwezi kutoboa. Kwahiyo movement inayopaswa kufanywa kuanzia sasa ni kudai katiba mpya. Siyo kuwaza kushiriki chaguzi tena chini ya katiba hii.

Vyama vya siasa vilivyopo vinaweza kufa na kupotea kabisa. Lkn kamwe upinzani hawezi kufa ama kuisha. Utaendelea kuwepo tena ndiyo utakomaa zaidi.
 
Kama ni kususa, huko kususa kusiishie bungeni tu, maana halisi ya kususa ni pana zaidi ya unavyofikiri; watatakiwa waendelee kususia mpaka uchaguzi mkuu ujao 2025,
Hapo naunga mkono hoja mkuu, kama hakuna tume huru waache wafanye uchaguzi wao wenyewe, sasa waamue wateuane au wafanye uchaguzi peke yao.
 
Vyama ni ideology ambayo inakuwa mioyoni mwa watu. Mbona hawakufutika 2015-20 wakati mikutano ya kisiasa ilipokuwa imepigwa marufuku? Haiwezekani kufutika. ANC ya Mandela ilipigwa marufuku Afrika Kusini, je, ilifutika?
Sizungumzii yaani isahaulike kabisa Tanzania, namaanisha watapoteza wapiga kura kwasababu wengi watakata tamaa kwa yaliyotokea this year.

They need to be very clever on this, lazima wajue namna ya kukabiliana na adui yao kwa akili, sio kususa.
 
Kama hilo haliwezekani, waunde vikundi vya kigaidi (underground). Wawatungue wasimamizi wa uchaguzi, viongozi wa CCM, Masjili nk. Heshima itarudi.
Hata ikibidi wafanye mapatano na nchi fulani fulani kuja kupambana kijeshi (watafute mercenaries) na watiifu wa nchi hii.
 
Maridhiano ya 2020-2024 ili CCM itawale vizuri baada ya kuiba uchaguzi hayana maana yoyote. Ikifika 2025 wanaiba tena na kuomba maridhiano tena. Huo ni ujinga.
Mkuu kuna kitu kimejificha nyuma ya huu uchaguzi usiwaamini sana wanasiasa. Nahisi walifahamu kila kitu kabla hata yakupiga kura. Wanatudanganya tu, kumbuka magufuli kabla hata ya kampeni kuanza upinzani uliitwa ikulu
 
Hunielewi kwa nini, ndio maana nikasema warudi bungeni kama platform mojawapo yakudai katiba mpya, wewe una suggest ipi? na hiyo unayo suggest ni practicable under the current regime?
 
Akina Mbowe na Lissu waliitwa Ikulu? sikumbuki katika miaka 5 hii iliyopita.
Mkuu kuna kitu kimejificha nyuma ya huu uchaguzi usiwaamini sana wanasiasa. Nahisi walifahamu kila kitu kabla hata yakupiga kura. Wanatudanganya tu, kumbuka magufuli kabla hata ya kampeni kuanza upinzani uliitwa ikulu
 
Mkuu kuna kitu kimejificha nyuma ya huu uchaguzi usiwaamini sana wanasiasa. Nahisi walifahamu kila kitu kabla hata yakupiga kura. Wanatudanganya tu, kumbuka magufuli kabla hata ya kampeni kuanza upinzani uliitwa ikulu
Not Chadema.
 
Akina Halima, Mbowe, Lissu, nk... Walidai kipindi chote na hawakupata. Leo Aida ndiye akadai na kupata katiba mpya na Tume huru?
Hunielewi kwa nini, ndio maana nikasema warudi bungeni kama platform mojawapo yakudai katiba mpya, wewe una suggest ipi? na hiyo unayo suggest ni practicable under the current regime?
 
Kuna mnyukano huko wa hatari kina Matiko, Mdee, Bulaya, Magelesi and the likes wameunda women wing kushinikiza kamati kuu kuwaruhusu wateuliwe na kushiriki bingeni kama viti maalum, vinginevo wakiwahama wasilalamike.
Hii habari ni ya kweli mkuu?
 
Sizungumzii yaani isahaulike kabisa Tanzania, namaanisha watapoteza wapiga kura kwasababu wengi watakata tamaa kwa yaliyotokea this year.
Itakuwa ni suala la muda tu mkuu. Ikitokea katiba mpya imepatikana wote watarejea na wengine wwngi wataunga mkono upinzani.

Wazo lako litakuwa kweli endapo upinzani utabweteka mpk 2025 halafu wakajidangqnya ama kudanganywa kushiriki uchaguzi chini ya katiba hii hii inayozaa tume-ccm.
 
Akina Halima, Mbowe, Lissu, nk... Walidai kipindi chote na hawakupata. Leo Aida ndiye akadai na kupata katiba?
Hujajibu maswali yangu, halafu unaonekana ni mtu unaekata tamaa upesi, haya ndio mapito ya kuitafuta demokrasia ya kweli wandugu.
 
Back
Top Bottom