denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Yes, uchaguzi huu ulikuwa uchafuzi, uta guarantee vipi next time patakuwa na uchaguzi halali?Waende bungeni kwa uchaguzi haramu? CUF walisusa na ikavurugwa, lkn wafuasi halisi wa CUF wakahamia ACT na bado wamepaa zaidi kisiasa.
Binafsi naona ni vema kuwa na msiamamo kwamba uchaguzi huu ulikuwa ni uchafuzi kwahiyo hautambuliki na waliotokana na uchaguzi huu hawatambuliki.
Madhara ya yaliyotokea mojawapo naamini next time wengi hawatakwenda kupiga kura, wameshaona uchaguzi Tanzania ni maigizo, na hii ndio maana halisi ya Chadema kupoteza wafuasi, sio kwa kuhamia chama kingine kama unavyodhani.
Na ukisusa maana yake umaanishe kweli, sio unasusia kimoja halafu unashiriki kingine, ukisusa kwenda bungeni then susia na uchaguzi mkuu ujao kwasababu mazingira yaliyowafelisha bado yatakuwepo, kinyume na hapo hawataeleweka kwa wanaojielewa.
Walishasusa kina Seif Zanzibar walipata nini? mbona wamerudi wenyewe ulingoni!. CCM hawasusiwi, ni kwenda nao sawa regardless of the situation, viongozi wamejitahidi kufanya kila walichoweza wameishia kukamatwa na polisi, mimi na wewe tulifanya nini kuwasaidia? kwangu kususa ni utoto tu.