Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Duuh!Ha ha ha ha haaaaaaaa
Duuh!Ha ha ha ha haaaaaaaa
"Yenyu" ndio nini?,***!na ndio mlichokuwa mmeegesha makalio yenyu mkisubiria mtu atimuliwe ili muanzie hapo kupiga dili la kuvuta mpango wa NUNUANUNUA WABUNGE WA CDM hii maanayake ni kuwa FISIEM imejaa mizoga isiyoweza hata kujikorogea sukari kwenye kikombe chachai na mnategemea CDM itupe majembe mkayaokote kwa kuyanunua bei mbaya mkayatumie.
Umebaki kupiga majungu tuu, Wenzio wanafanya yao....Waombe radhi kwa kosa gani?
Kutoa maoni yao kwamba chadema ipate mwenyekiti mwingine ni kosa?
Kwa nini hawajifunzi kwa ccm iliyobadilisha mwenyekiti kutoka Nyerere, Mwinyi ,Mkapa ,Kikwete na sasa Magufuli?
Kwa hiyo Bavicha kutwa wanalilia Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Magufuli lakini hawataki Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Mbowe??
Wewe wasema.Ukimsikiliza Komu katika kuomba radhi utatambua kuwa HAJUTI walichofanya isipokuwa anajuta kwa nini stori zimevuja. Bado kuna rotten apples ndani ya chadema.
We ni wa kupuuzwa tuMkuu wangu; tatizo ni kuwa hawaamini kuna tatizo. Labda hekima imetamalaki hadi tatizo litakapojitokeza tena...
Hayo ni maigizo mkuu;Hilo li ng'wana manyo lilikuwa linasubiri mfupa udondoke!
Exactly mkuuUkimsikiliza Komu katika kuomba radhi utatambua kuwa HAJUTI walichofanya isipokuwa anajuta kwa nini stori zimevuja. Bado kuna rotten apples ndani ya chadema.
Ni tatizo gani hilo?Mkuu wangu; tatizo ni kuwa hawaamini kuna tatizo. Labda hekima imetamalaki hadi tatizo litakapojitokeza tena...
Nilifikiri unaongelea matarajio ya chama kumbe unaangalia matarajio ya yeriko.Mshindi si chadema kwa matarajio waliyokuwa nayo lema,yericko nyerere na jacob!
Zitto alikana mashtaka pamoja na KK kumuona na hatia, sasa unataka mini kama watu wameomba msamaha na kukiri makosa yao?Wakati chama kikiwa na nguvu alikuwa akifukuza madiwani hata kumi. Alimfukuza Zito bila kujali. Sasa hivi chama kipo ICU,hathubutu kumfukuza hata m/kiti wa kijiji
Kosa linahukumiwa kulingana na mazingira yake si kila kosa hutolewa hukumu ileile usikariri.Wakati chama kikiwa na nguvu alikuwa akifukuza madiwani hata kumi. Alimfukuza Zito bila kujali. Sasa hivi chama kipo ICU,hathubutu kumfukuza hata m/kiti wa kijiji
Mbona kampeni zake zimefanikiwa? KK imewapa adhabu. Kuwaagiza waombe radhi huoni ni adhabu kubwa? Kuwa under probation mwaka mmoja sio adhabu? Kuvuliwa nyadhifa za chama unaona jambo dogo?Hahaaa
Jamaa sijui anajisikiaje?
Sio kwa kampeni ile.
Wangekuwa hawaamini kuna tatizo KK isingekutana, au mlitaka wafukuzwe ndipo mjue kuna tatizo.Mkuu wangu; tatizo ni kuwa hawaamini kuna tatizo. Labda hekima imetamalaki hadi tatizo litakapojitokeza tena...
Mkuu lengo la CCM na vibaraka wao lilikuwa wabunge wafukuzwe.Mbona kampeni zake zimefanikiwa? KK imewapa adhabu. Kuwaagiza waombe radhi huoni ni adhabu kubwa? Kuwa under probation mwaka mmoja sio adhabu? Kuvuliwa nyadhifa za chama unaona jambo dogo?
Ndio ujue Chadema inauwezo wa kucheza na akili ya Lumumba wote, mlijaa mihemko mkaona ndio mwisho wa Chadema.Hayo ni maigizo mkuu;
Hiyo clip wahusika wamejirekodi wenyewe na kuisambaza.
Lengo ni kukipa chama sura ya uwajibikaji.
Hamna kitu
Zito hakupanga njama za kuteka kiongozi yeyote.Zitto alikana mashtaka pamoja na KK kumuona na hatia, sasa unataka mini kama watu wameomba msamaha na kukiri makosa yao?