Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Naona unatype huku unabubujikwa na machozi, duwa la kuku halimpati mwewe.Zito hakupanga njama za kuteka kiongozi yeyote.
Zito hakupanga njama za kumbambikia kesi ya uhujumu uchumi Mbowe,lakini alifukuzwa.
Hawa pamoja na njama hizo bado hawakufukuzwa..
Unadhani ni kwasababu ya kukiri tuu !?
Hapo kuna khofu ndio iliyopelekea maamuzi hayo
Fikeni bei basi mbona mnaweweseka? Au kauli ya Kubenea inewakata maini? Maana mlikuwa kama mafisi mnadhani mkono wa binadamu ni kweli unaweza kudondoka? Mwe!