Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

"Yenyu" ndio nini?,***!
 
Umebaki kupiga majungu tuu, Wenzio wanafanya yao....
 
Ni kwa nini maamuzi haya ya kamati kuu ya Chadema yamewakera sana ccm?

Oneni comment zao humu ndio utajuwa urefu wa akili zao.
 
Hilo li ng'wana manyo lilikuwa linasubiri mfupa udondoke!
Hayo ni maigizo mkuu;

Hiyo clip wahusika wamejirekodi wenyewe na kuisambaza.

Lengo ni kukipa chama sura ya uwajibikaji.

Hamna kitu
 
Mshindi si chadema kwa matarajio waliyokuwa nayo lema,yericko nyerere na jacob!
Nilifikiri unaongelea matarajio ya chama kumbe unaangalia matarajio ya yeriko.

Kwani yeriko ndiyo Chadema Lema ndiyo Chadema au Jacob ndiyo Chadema, hao hata wasiporidhika hawabadilishi maamuzi ya chama, maamuzi ya Kamati kuu akiwemo Lema mwenyewe ndiyo maamuzi ya Chadema.
 
Wakati chama kikiwa na nguvu alikuwa akifukuza madiwani hata kumi. Alimfukuza Zito bila kujali. Sasa hivi chama kipo ICU,hathubutu kumfukuza hata m/kiti wa kijiji
Zitto alikana mashtaka pamoja na KK kumuona na hatia, sasa unataka mini kama watu wameomba msamaha na kukiri makosa yao?
 
Wakati chama kikiwa na nguvu alikuwa akifukuza madiwani hata kumi. Alimfukuza Zito bila kujali. Sasa hivi chama kipo ICU,hathubutu kumfukuza hata m/kiti wa kijiji
Kosa linahukumiwa kulingana na mazingira yake si kila kosa hutolewa hukumu ileile usikariri.
 
Hahaaa
Jamaa sijui anajisikiaje?
Sio kwa kampeni ile.
Mbona kampeni zake zimefanikiwa? KK imewapa adhabu. Kuwaagiza waombe radhi huoni ni adhabu kubwa? Kuwa under probation mwaka mmoja sio adhabu? Kuvuliwa nyadhifa za chama unaona jambo dogo?
 
Chadema ilishindwa kumfukuza Shibuda itaweza kwa Kubenea na Komu
 
Mbona kampeni zake zimefanikiwa? KK imewapa adhabu. Kuwaagiza waombe radhi huoni ni adhabu kubwa? Kuwa under probation mwaka mmoja sio adhabu? Kuvuliwa nyadhifa za chama unaona jambo dogo?
Mkuu lengo la CCM na vibaraka wao lilikuwa wabunge wafukuzwe.
 
Hayo ni maigizo mkuu;

Hiyo clip wahusika wamejirekodi wenyewe na kuisambaza.

Lengo ni kukipa chama sura ya uwajibikaji.

Hamna kitu
Ndio ujue Chadema inauwezo wa kucheza na akili ya Lumumba wote, mlijaa mihemko mkaona ndio mwisho wa Chadema.
 
Zitto alikana mashtaka pamoja na KK kumuona na hatia, sasa unataka mini kama watu wameomba msamaha na kukiri makosa yao?
Zito hakupanga njama za kuteka kiongozi yeyote.
Zito hakupanga njama za kumbambikia kesi ya uhujumu uchumi Mbowe,lakini alifukuzwa.
Hawa pamoja na njama hizo bado hawakufukuzwa..
Unadhani ni kwasababu ya kukiri tuu !?
Hapo kuna khofu ndio iliyopelekea maamuzi hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…